sehemu ingine ya maongezi ya JK na wananchi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Hongera Mheshimiwa jitahidi kazi kubwa inatukabili kuliendeleza taifa letu,juhudi zako twazitegemea!

    ReplyDelete
  2. bahati njema Kikwete amehutubia taifa wakati Obama naye alihutubia taifa lake kuhusu health insurance policy. Nimengalia na kusikiliza hotuba zote na nimeona tofauti kubwa/ kubwaaa/ kubwaa mno.

    ReplyDelete
  3. we mjinga hujui kama obama alikuwa anasoma na JK anajibu maswali ya hapo hapo.wabongo kwa kujishebedua,hawajambo

    ReplyDelete
  4. Jk kaza buti,kuhusu mdau anayemsifia obama,ni kweli ameongea vizuri lakini kumbuka pia kunawanao mpinga obama,kama wewe unavyompinga kikwete,ukiangalia wayahudi saa hivi hawataki hata kumsikia obama,kutokana na kuwatetea wapalestina wapate haki yao,ni same kwa Kikwete,kuna ambao hawataki kumsikia kutokan na ubinafsi wao kama wewe.ndo maisha,huwezi kumridhisha kila mtu

    ReplyDelete
  5. KANISIKITISHA SANA PALE ALIPOSEMA"HIVI UTAWEZA KUALIKWA NA BLAIR UMWAMBIE KUWA HUWEZI KUKUTANA NAE???HEHEHE NASALI KWA MUNGU WAZUNGU WASIMSIKIE HUYO MKWELE SIJUI MZARAMU MANAAKE HIVYO NDIO VITU WANAVYOTAKA WAVISIKIE HAO WAZUNGU TENA KUTOKA KWA KIONGOZI KAMA HUYO MKUU.KUNA MAMBO MAKUBWA NA YA MSINGI JAMAA HAYATILII MAANANI ILA KUALIKWA NA MZUNGU NDIO KAONA JAMBO KUU LA MSINGI.puuuuuuuuuuh mimi simo na tanzania lenu bayabaya hilo wacha nikajibebee zng boski mie

    ReplyDelete
  6. Kweli duniani wawili wawili, nilipoiona hii picha nikafikiri Zombe kumbe Tido Mhando. Wamefanana utafikiri mapacha.

    ReplyDelete
  7. We Anony wa Thu Sep 10, 03:40:00 PM unaonekana akili yako imedumaa,umebeba Box mpaka akili imedumaa!!We unavyofikiri ni Kiongozi Gani ambaye angealikwa na Blair angekataa?Kwani mwaliko una tatizo gani?Hata angekuwa Bush sidhani kama angekataa Mwaliko wa Blair kwa sababu swala la kualikwa si jambo baya baina ya nchi,JK alialikwa sasa ulitaka aseme niko Busy,we unajau Heshma ya kualikwa Na kiongozi Mkubwa wa Nchi?Mbona Bush alialikwa na JK na alikuja,sasa tuseme bush anajipendekeza kwa JK??.Kuna Mambo kibao ya maana hapo Mheshimiwa Rais ameyasema hukuyasikia unakomaa na kitu kimoja tu tena hakina mantiki yeyote.Shame On You!!Have A Nice "Mabox"
    Bro Michu Usinibanie.

    ReplyDelete
  8. RAIS AMEDANGANYA WATANZANIA ALIPOSEMA KWAMBA SAFARI YAKE YA MAREKANI NDIYO ILIYOLETA MSAADA WA MCC.

    UKWELI NI KWAMBA NCHI INAPATA MCC KUTOKANA NA VIGEZO KUFIKIWA, SIYO KUONANA NA RAIS WA NCHI HUSIKA. SOMENI KWENYE WEBSITE YA MCC.

    PILI, ALIPOKUJA, HAKUONANA RASMI NA BUSH ILA ALIZUNGUMZA NA DICH CHENEY NA POPEWA HONGERA YA KUWA RAIA. BUSH ALIINGIA GHAFLA NA WAKASALIMIANA TU. SOMENI MAGAZETI WABONGO.

    TATU, WAKATI JK ANAINGIA MADARAKANI, TANZANIA LISHAFANIKIWA KUFIKIA SIFA ZA KUPATA MSAADA WA MCC, NA ILISHAANZA KUFANUIWA MAANDALIZI. ULIENI HAZINA KUNA OFISI YA MCC.

    RAIS WA TANZANIA AMEDANGANYA WATANZANIA.

    SALAMU ZENU.

    ReplyDelete
  9. wewe mjinga ndo unatakiwa ufatilie mambo before hujasema rais medanganya wa tz.kumbuka hela aloitoa bush iliingizwa kwenye mfuko wa MCC lkini ilikuwa ni ya ziada na ni kwa tz peke yake,na ni kutokana na juhudi za kikwete,project kama tanga horohoro ilikuwa haiko kwenye MCC,iliingizwa baada ya bush kuja,na nyengine nyingi kama vyandarua kwa wjawazito nchi nzima.ok wewe unajua zaidi tuambie ile hela bush aloisign ikulu dar imeenda wapi.usiongee kwa kujiamini kama huko sure

    ReplyDelete
  10. aache kuijisifia kwa kwenda kutembeza bakuli,atuambie sisi watanzania tutaacha lini kutembeza bakuli,aibu kwetu tunahitaji viongozi wenye mtazamo mpya wa maendeleo zaidi na wanaonona aibu kuzunguka nchi za wengine kuomba

    ReplyDelete
  11. ukiangalia vizuri btn dakia 2:00 to 2:11 utaona mkuu anabada mbu na hapo ndipo ikulu, inakuwaje na hapo ndio nyumba ya kwanza Tanzania

    ReplyDelete
  12. Kawaida yetu kuponda. Simaanishi tuache ila tuwewakweli basi. Natuweke ubinafsi kando.

    Msaada jamani....KUBEBA BOX NDIO KUFANYA NINI? MIE HAPO MMENIACHA

    ReplyDelete
  13. Mmechoka kutembeza mabakuli?Maendeleo yatakuja vipi wakati Watanzania wengi ni wavivu?Wengi wenu hamfanyi kazi mnakimbilia Dsm wakati mikoani kuna mashamba kibao,kutokana na akili zenu finyu mmaona kazi za mashamba ni za kimaskini wakati mimi ni mkulima na namshukuru mungu mambo yangu si mabaya.Rudini mikoani mafanikio yapo huko mjini Dsm mnapigika tu.

    ReplyDelete
  14. Jamani watanzania ni lini tutakubali nchi yetu? we mtoa maoni wa tarehe! thu sep 10, 03:02:00pm wewe ni mjinga kabisa kwa upeo wako mdogo wa kuelewa unalinganisha Marekani na Tanzania ulitaka hotuba ziwe sawa kwa lipi? Pendelea nchi yako fala wewe huna mahana, ati niliona hotuba ya Obama ilikuwa tofauti na Kikwete,, Huna mahana

    ReplyDelete
  15. Ninashauri wakati mwingine Rais awe pamoja na waandishi wengine toka vyombo binafsi kuliko kumtumia hyo wa TBC tu inaboa at times.

    ReplyDelete
  16. Nyie wote mnaobishana hapa kwa michuzi hamna kazi za kufanya. Tanzania itaendelea kuwa maskini kwa kujadili mambo yasiyo na maendeleo. Hotuba ya Rais kitu gani, wakati maendeleo hakuna? Stupid all of you!

    ReplyDelete
  17. Pole sana Anonymous wa tarehe Fri sep 11, 09:54:00 we ndo stupinX1000........huna mahana kuna unafuu kuwa masikini wa pesa kuliko kuwa masikini wa akili make wewe ni masikini wa akili.

    Mdau,,, Malaysia

    ReplyDelete
  18. Mbona sijaskia barabara za Pemba katika misaada hiyo.Au kwenye misaada Zanzibar inakuwa sio Tanzania?

    ReplyDelete
  19. Mimi nilimtumia JK maswali matatu kwa email waliyoitoa swalikwarais@yahoo.com lakini cha kushangaza ni kuwa sijajibiwa hata sikurudishiwa aknowlegment kuwa maswali yangu yamepokelewa.Mheshimiwa rais ningojee majibu toka kwako?
    KILI
    BG

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...