Home
Unlabelled
kipende chako...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kama huyo mbuzi angeweza kuongea angekataa kabisa kubebwa hivyo naanini ameumia sana!huo ni ukatili kwa wanyama.
ReplyDeleteI hope huyo jamaa na mbuzi watakuwa marafiki na asimchinje awe rafiki yake kama mbwa na binadamu,unajua wazungu hawali mbuzi na wanawafanya pet wao ila mbuzi ni mgumu sana kuelewa upesi kama mbwa!
ReplyDeletejuzi umeonyesha jamaa anamkung'uta ngombe, leo mnaonyesha mbuzi anamkung'uta jamaa, yote haya yanafanyika kwa kisingizio cha usafiri, yetu macho tulete tena wanyama wengine kama nguruwe, fisi nk, lakini nadhani fisi waanga wanamtumia sana usiku kumpanda tena wanamuendesha kinyumenyume!
ReplyDeleteHuyo mbuzi alikuwa anapelekwa kuchinjwa ipatikane ndafu !
ReplyDeleteUshauri ambao nitampa huyo mchapakazi ni huu,SIKU NYINGINE MVALISHE NEPI ASIJE AKANYEA NGUO ZAKO MAANA AUNA UNIFORM YA KAZI NA PIA MVLISHE HELMET PAMOJA NA WEWE NI WIKI YA NENDA SALAMA TUJIADHARI NA AJALI.
ReplyDeletehuku ulaya tunasema hii ni "ANIMAL CRUELTY" mambo gani ya kumbemba mbuzi? ni kumuumiza mnyama, tupige vita mambo kama haya.
ReplyDeleteAshakum si matusi hawa watu ndio wanatembea na wanyama wapumbavu wakubwa, unamkumbatia mbuzi kama mke.
ReplyDelete