
Mheshimiwa nanihii,
Awali ya yote napenda kukupongeza kwa kazi kumbwa unayoifanya ya kutuhabarisha na kutuweka up to date na matukio na mambo mbalimbali. On my behalf and on behalf of everyone who appreciate you work I would like to thank you million times.
hivi karibuni.
Blog yangu inawalenga vijana kutoka sehemu zozote duniani hasa wale walio katika Vyuo vya elimu ya juu, sekondali nk. Lengo ni kuwapatia vijana habari mbalimbali kuhusiana na mambo yanayowahusu kama Mziki, Movies, Michezo, sayansi na Tecknologia, celebrity gossips nk.
Blog ina waandishi kutoka vyuo na sehemu mbalimbali duniani ambao wako tayari kupatia vijana a variety of news. Kwa undani tembelelea www.hotslice.blogspot.com
Mdau
University of Cape Town
South Africa
Duuuuh si mchezo watu wameona kwa bro. michuzi ndo kwa kutokea kulaini.Easy!!!!!
ReplyDeleteILA MICHU HANA DEAL, ANAPENDELEA SANA KUPOST HIZI BLOGU....
ReplyDeleteoyaa!! mbona websites zikipostiwa hamlalamiki..blogs ni kama sites tu..unataka kufungua web yako unafungua..isitoshe the idea behind is gud!!!!
ReplyDeleteMdau mwenye blog mpya, uandishi wako wenyewe wasiwasi sasa utatuhabarisha au utatuchanganya tu. Usikurupuke! ningekushauri utumie muda kujifunza kuandika kwanza.
ReplyDelete