Hii ni taswira ya Jarida jipya la VodaWorld ambalo liko njiani kutoka tarehe mosi Oktoba 2009, likiwa limesheheni mambo kibao yanayohusu mstakabali wa nchi yetu. Mwanzilishi nan mhariri mkuu ni yuleyule Mwamvita Makamba. Kaa mkao wa kula kupata mambo kibao katika jarida hili...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. hivi wewe unalipwa na hawa voda nini...kila siku voda

    ReplyDelete
  2. it looks good, my only question though....is it a political magazine? au ndiyo.....Makamba?

    ReplyDelete
  3. Ok, Babukubwa: jarida la Vodacom jarada picha ya mkuu wa nchi.

    ReplyDelete
  4. What is the relationship between the government and Vodacom?????
    Mdau.

    ReplyDelete
  5. it is obvious, being at the right place and right time with the right supports, though I believe that, it is a Company(Vodacom) Corporate Responsibility to have such Vodacom Foundation lead by Mwamvita Makamba to give support the disadvantage groups (Ophans, People with learning and physical Disabilities or health issues etc)which I believe other Organisations in Tanzania (e.g TIGO, ZEIN, BARCLAYS, CRDB BANK, AND OTHER CHARITABLE ORGANISATIONS does, so that they can fulfil their "Corporate Objectives" For Makamba et al may be - I am not sure but it is better to mention, it might be for their own personal interests (problem of people in positions of power looking after their own interests rather than the people they meant to serve), I am not going to judge them for this but the "TIME WILL TELL" and please correct me if I'm wrong
    2010 = MWAMVITA = UBUNGE

    Kila la Kheri katika safari yako Mwamvita Makamba
    Mdau from "PICHA YA NDEGE - KIBAHA"

    ReplyDelete
  6. mtoto wa CoastSeptember 26, 2009

    panapofuka moshi, huenda nyaya za umeme zimeungana!

    ReplyDelete
  7. Wamesahau rangi ya chichiemu tu hapo

    ReplyDelete
  8. i believe other organizations do the same ... unfortunately they don't get the same coverage in the media.

    ReplyDelete
  9. UCHAGUZI UNAKARIBIA NA KAWAIDA TANZANIA WAFANYABIASHARA HUANZA KUKIPIGIA KAMPENI CHAMA KILICHOKO MADARAKANI ILI KIENDELEE NAO WAENDELEE KUKWEPA KODI, HIYO NDIYO BIASHARA.

    ReplyDelete
  10. jamani haki yao wapeni wanafanya kazi, nilisoma issue yao ya kwanza imeandikwa vizuri sana kizungu kimetulia sio cha kubabaisha huyo anayelihariri anapaswa kupongezwa naamini sio mwamvita kwani uandishi wa habari sio fani yake.

    ReplyDelete
  11. sijajua bongo ufanye nini kionekane kiko sawia and people take it positive....Mungu ibariki Tanzania!!

    ReplyDelete
  12. MITANZANIA NDIVYO ILIVYO, WANACHONGA MIDOMO SANA "WANA WIVU USIOKUWA WA MAENDELEO" MIMI UTANZANIA NIMEUKANA SIKU NYINGI SIKUONA MANUFAA YAKE YOYOTE ZAIDI YA SOGA NA UFISADI NA WANYONGE KUDHULUMIWA HAKI ZAO. "GOD BLESS OUR QUEEN, GOD BLESS ENGLAND"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...