Home
Unlabelled
mashindano ya vodacom mashua laser open yafana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ebana maji ya bahari ya hindi yanaonekana mazuri kuliko bahari ya Atlantiki.Kila nikienda fukwe za Atlantic City hamu ya kuogelea inakwisha sababu mimaji inaonekana michafuuuuuuuu.Malimbukeni mtapinga.
ReplyDeleteMBONA WASHINDI WOTE WAZUNGU! WABONGO TUNAOGOPA MAJI AU VIKOMBE.
ReplyDeleteWabongo kazi kuchonga lakini kushiriki international sports no. Angalieni wenzetu kwa mzee kibaki wao hata michezo ya barafu wamo though sisi tuna Kilimanjaro barafu juu. Tuwe wavumbuzi badala ya kulalama tutaishiaga kuishangaa nchi ndogo kama Rwanda huku sisi milioni 50 blablablaaaaaa tuu. Ndio maana tunaogopa hata EAC kwani wenzetu watafanya kweli na sisi tutaishia kunywa bia walio na centi na vijana wetu wataishia kukaa vijiweni bila kazi na elimu 24/7. Umbea na kujifanya tunajua sana kuongea kutaimaliza nchi jamani tufanye vitendo vyenye outcome ya kutupeleka mbele na kuiweka nchi yetu katika ramani na kuitangaza kwa faida ya leo na vizazi vijavyo
ReplyDelete