Rais wa Chama cha Mabunge ya jumuiya Ya Madola na Spika wa Bunge la Jamhuri la Tanzania Mh. Samwel Sitta (kulia) akipozi na Spika wa Bunge la India Mh. Meira Kumar (kati) na Balozi wa India nchini wakati wa hafla aliyowaandalia wabunge 800 toka mataifa 53 wanachama wa Jumuiya ya Madola katika hoteli ya Kibo Palace usiku wa kuamkia leo ikiwa ni sherehe ya kuwakaribisha wah. hao wanaohudhuria mkutano wa 55 wa chama hicho. mwakani mkutano huo unatarajiwa kufanyika Kenya
Katibu wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Dk William Shija (shoto mbele) akipozi na kamati ya wabunge wanawake wa chama katika hoteli ya Arusha Corridor
Wah. wakiserebuka katika hafla ya kuwakaribisha iliyoandaliwa hoteli ya Kibo Palace usiku kuamkia leo
kikundi cha ngoma toka Endulen kikitumbuiza wageni
wafanyakazi wa ofisi za bunge wakiandaa vocha za msosi kwa wageni
baadhi ya wafanyakazi wanaofanikisha mkutano huo
MC Angela Bondo (shoto) akipata maelekezo toka kwa maafisa wa bunge wakati wa hafla ya usiku kuamkia leo hoteli ya Kibo Palace
wanafunzi wa shule ya St. Jude wakifanya rihezo chini ya usimamizi wa Mh. Samwel Sitta na wabunge wa Tanzania wa CPA
katibu wa bunge Dr. Thomas Kashillilah akibadilishana mawazo na wafanyakazi wa ofisi za Chama cha Mabunge ya Jumiya ya madola
Rais wa Chama cha Mabunge ya jumuiya Ya Madola Samwel Sitta








Yaani huyo Mmaori kama ukikutana naye unaweza ukasema ameamka nazo na kusahau kuvaa surali.
ReplyDeleteSijui ma-Chalii wa kule AR watakuwa wanasemaje wakimuona. Labda itakuwa hivi;
..."Aisee Chali 'angu nimekutana na kituko pale hotelini. Wale wazee wana hela sijawai ona, wanatandika maji mpaka wanajisahau kuvaa ati. Na wenzao wala hawastuki Jo, wanaendelea tu time zao.
Wewe unasema hamna pesa nchi hii, ni wewe tu ndiyo hauna hela. Nenda hotelini ukaone"
Mheshimiwa Swan wa Bermuda ametoka haswaa!
ReplyDeleteJK akiiga hii itakuwa burudani tosha
Yethu na Maria na Yosefu, huyo baba anafanana na marehemu Mzee Lauwo alikuwa akivaa hifyo hifyo! Duniani ama kweli wawili wawili!
ReplyDeleteSIAJABU JK nae anatingaga mapigo kama hayo kinyemela akiendaga nchi ambazo hakuna wakuda wengi wabongo kama srilanka huko au bermuda kwenyewe nk...
ReplyDeleteANYWAY 800 WABUNGE IS TOOMUCH KUWAALIKA BWANA AU WABUNGE HAWA SIO WA MATUMIZI KAMA WABONGO?MAANAKE KAMA NI KAMA HAWA WETU BASI MWAKA TUMEUMALIZA KWA HASARA HUU2009
Said yakub fanya mazoezi mwili unakuzidi.Kwani uko bungeni au BBC idhaa ya Kiswahili?
ReplyDeleteNjoo Tanga uchukue kiti Mwanangu.
Yep, Dk. Slaa naye yupo, safi saaana. Na pale kwenye vocha za misosi pale mhhh! SIjui hawatapiga bao kweli!??? Maana imeshakuwa ndo asili yetu tena.
ReplyDeleteKATIKA PICHA NA 7, HUYU AFISA WA BUNGE SI NDIYE SAID YAKUB ALIYEKUWA AKIISHI HUKU UK PIA AKIFANYA KAZI BBC LONDON AU MACHO YANGU TU? WADAU NAULIZA
ReplyDeleteUtamaduni wa Bermuda unaruhusu mavazi ya koti na kaptura fupi. Kwao ni jua kali na kisiwani, Waingereza walipokuja kuwatawala wakaamua kuvaa bukta na koti wakiwa kazini na mpaka leo wanavaa hivyo na wako chini ya malkia.
ReplyDeleteSafi sana hii ni kama jamaa yangu mmoja wa huko Musoma ni mkali wa mapensi na makoti yake pengine ana damu ya kiBermuda!
ReplyDeletei love this HOT red shorts
ReplyDeletehe is a man!!above all