Home
Unlabelled
Rais Kikwete akutana na Ban-ki-Moon New York
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HUYU MHESHIMIWA ANAFAA SANA KUWA MC WA MIKUTANO KWANI YEYE HUWA WAKWANZA KUWASILI NA WA MWISHO KUONDOKA
ReplyDeletekaka michu naomba unisaidie kwenye piha ya kwanza maana misijaielewa kabisaa!
ReplyDeleterais wetu kaa kwy bendera ya UN na Ban-ki-moon kaka kwenye ya kwetu je hiyo nisahii kweli?au hawakujipanga vizuri?
nielewavyo mimi nikuwa kiongozi anakaa na bendera yake sasa sijui labda mi ndo naelewa vibaya!Nisaidieni nijifunze maana niko nia panda.
Habari yako mzee michuzi, mheshimiwa Kikwete alipokutana na Ban-Ki moon alizungumzia suala la matatizo ya kisiasa yalioko Zanzibar na amesema kwanba matatizo hayo hayatokani na Serikali bali ni ya vyama, jee amesahau kwamba yeye ni mwenyekiti chama ambacho ndio chanzo cha matatizo? na pia hicho chama chake ndio kinacho ongoza nchi.Pia vile vile amesema viongozi wote waliochukuwa madaraka kwa nguvu watengwe na ulimwengu jee vipi kuhusu Zanzibar wakati akiwa yeye ndio Raisi wa Muungano na ni mwenyekiti wa CCM.Lakini yote haya mimi nawalaumu CUF ilikuwaje wakubali kuingia mazungumzo ya muafaka na mahasimu wao CCM? Kilichokuwa kinatakiwa kufanywa ni Kuundwa tume huru ya wanasheria kuangalia matatizo ya Zanzibar kutoka na katiba ya Serikali na sio maamuzi ya vyama kwani Zanzibar sio ya CCM wala CUF ni ya wazanzibari wote.Kwakweli CCM ni wajuzi wa usanii. Nakama hili suala Mheshimiwa Kikwete na watanzania kwa jumla wataendelea kulipa mgongo basi kuna hatari kubwa sana inaweza ikaikumba nchi yetu kwani raia wamechoka kunyanyaswa.
ReplyDeleteNaskia JK kashawaingiza mjini mtu za DIASPORA uko Texas.
ReplyDelete