



Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
safi sana vijana mimi nawafagilia pamba kwani kila siku mnakuja na ubunifi ila hizi za sasa zimetulia mnavaa kama mko USA
ReplyDeletekweli tanzania ni nchi huru yaani watu wanajirusha watakavyo
ReplyDeletetunaomba matamasha kama haya kila mkoa kwani yanatuunganisha watanzania ok
ReplyDeletenani apewe credit kwa vazi la kitambaa? Alafat wa PLO, Kanumba au kuna mbunifu mwingine maana naona sasa kila Kona. Pia nashauri haya matamasha yawe yanatoa report ya mahuduhurio na pesa iliyokusanywa, kondom zilizouzwa, bia na sigalla ni muhimu sana kudocument vitu kama hivi
ReplyDeletekweli show nzuri. Ila mie niko kinyume kidogo na hawa wanaoitwa kioo cha jamii. Hivi kwani kila kitu kuiga jamani?? Sifurahishi na tabia ya kuiga bila kujiuliza kwa kina dhumuni la alienzisha ama kuonekana na kitu fulani. nikiwa na maana kwamba. waliiga kujishikashika mbele ya nyeti zao wawapo jukwaani kama waanzilishi walivyofanya. sasa wameibuka na vitabaa shingoni eti ni mtindo, Jamani naomba kuelimishwa. binafsi nilichukulia kwa washika nyeti wa kimarekani wawapo jukwaani kuwa pengine kuna ka muwasho sehemu hizo, ama suruali zao ni ndefu kiasi cha kuwafanya wapandishe kila muda tena kwa upande wa hadhira. Swali je nikiwa sahihi, na wobongo flava nao wanawashwa sehemu nyeti? ama suruali zinashuka japo hata wavaa kaptula hufanya vivyo hivyo?
ReplyDeletePili kwa kitatambaa shingo nilidhani kwa ajili ya baridi ama kujifuta jasho ,na hawa wana kwetu je? mdau scandnavia.
Anony Mon Sep 28, 03:03:00 PM kuna vingapi umeshaiga hadi leo?
ReplyDeleteunaja hata kuvaa nguo sio asili ya mwafrika?
nini ambacho hujaiga ktk maisha yako?
Acha kupaka-ila shauri kwa busara na nia nzuri
Be honest ninyi hamuigi?
ReplyDeleteHujaiga kitu?
Suliali, shati nk vyote umeiga
So wat ar u toking abt?
Acha vijana wajirusheeeeeeeeee
kussaga,Mohamed Dosidosi na Oscar Mziray wako Wapi?
ReplyDeleteMDAU WA SCANDNAVIA UMESEMA!!!!!...HAHAHAHAHA...AIGIZAYE TEMBO KU***A ......HAHAHAHAAAAAA
ReplyDelete