siku kumi za mwisho za Ramadhaan zina fadhila khaswa na kubwa kuliko siku zozote nyingine ambazo Muislamu inampasa aongeze twa'aa na vitendo vya ibada kama kuswali, kufanya dhikr na kusoma Qur-aan.
Kuendele kusoma mawaidha haya:
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
WAJAMENI HIYO NI ACCENT NDO IKO VERY THICK . ILA KAJITAHIDI KIBONGOBONGO, ACHENI UFALA WA KUMPIGA MAWWE KAMA KAFUMANIWA, MWE WABONGO MLIVYOKUA MNALALAMIKA HIVYOOOOOO , MI NILIDHANI HAJUI KABISAAA HAWAELEWANI NA WENZAKE MBONA SI HAO WAMEMUELEWA KASEMA NINI?
ReplyDeleteasante tutajitahidi Allah ndio anajua kila kitu
ReplyDeleteAsaalam aleykum
ReplyDeleteKwanza naona kuwa huyo jamaa hapo juu kapotea njia
Pili naomba kuwajulisha wadau kuwa kwa tabia za blog na email utumizi wa harufu kubwa moja kwa moja ni jambo la kukera maana yake ni kuwa wapiga kelele,YOU ARE SHOUTING, its not a law set in stone but an accepted etiquette,ofisini ukipeleka email in upper case, watafuta kutupwa pakachani.
Turudie habari za Laylatul Kadri
Hakika huu ni muda mtukufu sana kwa binadam wote na sio waislam tu au waliofunga tu. Wakati huu ni wa kufunga account yako na aliyekuumba, muombe msamaha na muombe akuongoze na inshallah utafanikiwa
Ramadhan mubarak
wakatabahu