Chama cha New England Umoja,kinawakaribisha Watanzania Wote,waishio Masachusetts na jirani zao katika
EID FLAVA
na
BONGO FLAVA SUPRISE ARTIST
kutoka Tanzania,zitakazo fanyikia jumamosi Sept 26
CLUB ATLANTIC,
1389 Liberty St,
Springfield,
Ma,
01104,
kuanzia8:30 PM-2:00 AM)

Muziki utaporomoshwa na Dj Mahiri na Maarufu wa Siku nyingi katika hii fani kutoka Washington Dc,OLD SKUL MIX MASTER DJ LUKE,akienda sambamba na madj waliobobea Dj Rich,Dj Eddy na Dj Masoud kwa miziki ya Rusha Roho,Mduara,Lingala,Bongo Flava,Genge,U.G.Flava,Kwaito,Decale,Ragga,New skul na Old skul,ili mradi ni raha ndani kumoyo.


Jumapili sept 27 itafuatiwa na mechi ya marudiano kati

STARS UNITED F.C.
na
BOSTON RANGERS

itakayochezewa
168 Alewife Brook Pkwy,
Cambridge,
MA 02138.

kuanzia saa 9 alasiri Mpaka 5pm
KWA MAELEKEZO ZAIDI WASILIANA NA
SALUM 617 308 2971,
DJ RICH 413 262 0400,
DJ EDDY 781 608 0665,
DJ MASOUD 781 526 6845
KARIBUNI WOTEEEEE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Dj luke, the time is running against you my friend and now i guess it's a perfect time to let it go.
    mdau ohio

    ReplyDelete
  2. hiyo shoo ni bule au?make sijaona kiingilio,wabongo bwana

    ReplyDelete
  3. Acha wivu wewe @mdau wa ohio, Kipaji cha mwenzio usikilalie mlango wazi.
    We got much love for u Dj Luke, ignore the haters they are here to make u better!.
    Keep doin what u doin.

    Mdau North Carolina.

    ReplyDelete
  4. the only active bongoflava artists in usa sasa hivi ni mwana fa na sugu kidogo, sasa hiyo surprise babu imetoka wapi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...