
Chama cha New England Umoja,kinawakaribisha Watanzania Wote,waishio Masachusetts na jirani zao katika
EID FLAVA
na
BONGO FLAVA SUPRISE ARTIST
kutoka Tanzania,zitakazo fanyikia jumamosi Sept 26
CLUB ATLANTIC,
1389 Liberty St,
Springfield,
Ma,
01104,
kuanzia8:30 PM-2:00 AM)
Muziki utaporomoshwa na Dj Mahiri na Maarufu wa Siku nyingi katika hii fani kutoka Washington Dc,OLD SKUL MIX MASTER DJ LUKE,akienda sambamba na madj waliobobea Dj Rich,Dj Eddy na Dj Masoud kwa miziki ya Rusha Roho,Mduara,Lingala,Bongo Flava,Genge,U.G.Flava,Kwaito,Decale,Ragga,New skul na Old skul,ili mradi ni raha ndani kumoyo.
Jumapili sept 27 itafuatiwa na mechi ya marudiano kati
STARS UNITED F.C.
na
BOSTON RANGERS
itakayochezewa
168 Alewife Brook Pkwy,
Cambridge,
MA 02138.
kuanzia saa 9 alasiri Mpaka 5pm
KWA MAELEKEZO ZAIDI WASILIANA NA
KWA MAELEKEZO ZAIDI WASILIANA NA
SALUM 617 308 2971,
DJ RICH 413 262 0400,
DJ EDDY 781 608 0665,
DJ MASOUD 781 526 6845
KARIBUNI WOTEEEEE
Dj luke, the time is running against you my friend and now i guess it's a perfect time to let it go.
ReplyDeletemdau ohio
hiyo shoo ni bule au?make sijaona kiingilio,wabongo bwana
ReplyDeleteAcha wivu wewe @mdau wa ohio, Kipaji cha mwenzio usikilalie mlango wazi.
ReplyDeleteWe got much love for u Dj Luke, ignore the haters they are here to make u better!.
Keep doin what u doin.
Mdau North Carolina.
the only active bongoflava artists in usa sasa hivi ni mwana fa na sugu kidogo, sasa hiyo surprise babu imetoka wapi
ReplyDelete