Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mh. Shamsi Vuai Nahodha, akiwaaga wageni aliowaalika futari
nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar leo.
Wadau mbalimbali wakiftari nyumbani kwa waziri Kiongozi wa Zanzibar Mh. Shamsi Vuai Nahodha leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. mwamvita makamba leo hayupo?

    ReplyDelete
  2. asante michu naona huu mualiko wa kuftari wamealikwa wana ccm tuu ?

    ReplyDelete
  3. WAZIRI KIONGOZI WA ZANZIBAR ANA NYUMBA OSTERBAY DAR NA WAZANZIBAR HAWA HAWA HAWATAKI MUUNGANO!!!!!!!!!!!! INAKAJE HII????????

    ReplyDelete
  4. RUSHWA!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. DUH!! MKAPA NDANI YA KANZU! KAFANANA SANA NA SHEIKH WA MSIKITI
    WA MTONGANI.

    ReplyDelete
  6. Hivi kumbe Waziri Kiongozi wa Inji ya Zanzibar anaishi Dar es salaam? Nilikua napigia mstari jibu tuu!

    ReplyDelete
  7. Hivi waziri kiongozi wa Zanzibar anaishi Daressalaam! wapi na wapi!? Ndio maana maendeleo sisi bado kidogo....

    ReplyDelete
  8. hii imekaaje tena wadau iweje huyu waziri kiongozi wa zenji kwake ikawe ni oysterbay dar?au ndio huo ufisadization

    ReplyDelete
  9. Wanaolalamika sana kuhusu huu muungano ni wale ambao si viongozi, ni wale ambao hawafaidiki na muungano. Viongozi karibu wote wa Zanzibar wanafaidika na muungano kwahiyo hawawezi kulalamika, na matokeo ndiyo hayo kuwa na makazi sehemu mbilimbili - Bara na visiwani!!

    ReplyDelete
  10. Mikeka hakuna??

    ReplyDelete
  11. nami nilitaka kuuliza swali hilohilo ila kitofauti kidogo. private or govt-owned house?

    ReplyDelete
  12. Asalaam aleikum,
    Mimi nawafurahia sana Voda Com Foundation kwani wanaonyesha wanajali jamii pasi na dini zao.Jamani hawa viongozi twawaona ikulu tu na wengine wanakwenda kufuturisha huko Uswisi je hawajui kuwa kuna familia hujko Mahenge hazina hata futari??Hawajui watafuturu nini ila wanafunga na wapo wengine wanafungua kwa kunywa maji tuu?Leo hii twaona machapati mingi ukulu na kusahau wasonacho?Haya ndio mafunzo ya funga jamani?Nawashukuru mno Voda com foundation Tanzania.Karibuni kwetu Igunga mfuturishe basi!

    ReplyDelete
  13. Hivi kualika watu wengine kwenye futari ina maana gani? Hivi si kwamba mwenye nacho anatakiwa awepe wasio nacho? Kama ndio hiyo sasa hii ya wanasiasa kuwaliaka wasiasa wenzio ambao wote wanacho na wengine hata hawajafunga ni maana gani kwenye dini ya mtume? Je wataalam mnasemaje juu ya hili?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...