Home
Unlabelled
waziri kiongozi afutarisha dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mwamvita makamba leo hayupo?
ReplyDeleteasante michu naona huu mualiko wa kuftari wamealikwa wana ccm tuu ?
ReplyDeleteWAZIRI KIONGOZI WA ZANZIBAR ANA NYUMBA OSTERBAY DAR NA WAZANZIBAR HAWA HAWA HAWATAKI MUUNGANO!!!!!!!!!!!! INAKAJE HII????????
ReplyDeleteRUSHWA!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteDUH!! MKAPA NDANI YA KANZU! KAFANANA SANA NA SHEIKH WA MSIKITI
ReplyDeleteWA MTONGANI.
Hivi kumbe Waziri Kiongozi wa Inji ya Zanzibar anaishi Dar es salaam? Nilikua napigia mstari jibu tuu!
ReplyDeleteHivi waziri kiongozi wa Zanzibar anaishi Daressalaam! wapi na wapi!? Ndio maana maendeleo sisi bado kidogo....
ReplyDeletehii imekaaje tena wadau iweje huyu waziri kiongozi wa zenji kwake ikawe ni oysterbay dar?au ndio huo ufisadization
ReplyDeleteWanaolalamika sana kuhusu huu muungano ni wale ambao si viongozi, ni wale ambao hawafaidiki na muungano. Viongozi karibu wote wa Zanzibar wanafaidika na muungano kwahiyo hawawezi kulalamika, na matokeo ndiyo hayo kuwa na makazi sehemu mbilimbili - Bara na visiwani!!
ReplyDeleteMikeka hakuna??
ReplyDeletenami nilitaka kuuliza swali hilohilo ila kitofauti kidogo. private or govt-owned house?
ReplyDeleteAsalaam aleikum,
ReplyDeleteMimi nawafurahia sana Voda Com Foundation kwani wanaonyesha wanajali jamii pasi na dini zao.Jamani hawa viongozi twawaona ikulu tu na wengine wanakwenda kufuturisha huko Uswisi je hawajui kuwa kuna familia hujko Mahenge hazina hata futari??Hawajui watafuturu nini ila wanafunga na wapo wengine wanafungua kwa kunywa maji tuu?Leo hii twaona machapati mingi ukulu na kusahau wasonacho?Haya ndio mafunzo ya funga jamani?Nawashukuru mno Voda com foundation Tanzania.Karibuni kwetu Igunga mfuturishe basi!
Hivi kualika watu wengine kwenye futari ina maana gani? Hivi si kwamba mwenye nacho anatakiwa awepe wasio nacho? Kama ndio hiyo sasa hii ya wanasiasa kuwaliaka wasiasa wenzio ambao wote wanacho na wengine hata hawajafunga ni maana gani kwenye dini ya mtume? Je wataalam mnasemaje juu ya hili?
ReplyDelete