mmoja wa wakongwe maarufu wa muziki nchini athanas lukindo bado yupo kwenye fani akitamba na bendi yake ya shada na mai waifu wake carolla kinasha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Brother peace sanaa huyu..



    Baba Jesus

    ReplyDelete
  2. Nsali MasimbiOctober 20, 2009

    hawa jamaa huwa wananikosha sana na muziki wao..sauti ya Carola nayo yavutia sana kwa kweli nyie acheni tu..nilivokuwa bongo nikitua Dar tu kutoka mkoani lazima nikawacheki pale level 8.Kuna song moja linaitwa ni Pendo lile acha aisee utamu wake hauishi.Kwenye harusi yangu (sijui itakuwa lini) lazima mtoe burudani aisee.Nsali Masimbi

    ReplyDelete
  3. athanas nywele ziko wapi?

    ReplyDelete
  4. athanas nawatakia baraka ktk kazi zenu na mkeo carolla. p.lyimo

    ReplyDelete
  5. ALLAN MAKWAIAOctober 21, 2009

    KAFANANA NA JAY Z KINOMA, UTAFIKILI MAPACHA. KWELI DUNIANI WAWILIWAWILI.....

    ReplyDelete
  6. Uncle Athanas uko juu!

    ReplyDelete
  7. Hongera sana Athanasis na Carola!!Kazi nzuri....msalimie sana Fred Bonge....!

    ReplyDelete
  8. twaomba mawasiliano yake plizzz
    tunapenda vitu live kama hivi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...