Home
Unlabelled
athanas lukindo aendeleza libeneke
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Brother peace sanaa huyu..
ReplyDeleteBaba Jesus
hawa jamaa huwa wananikosha sana na muziki wao..sauti ya Carola nayo yavutia sana kwa kweli nyie acheni tu..nilivokuwa bongo nikitua Dar tu kutoka mkoani lazima nikawacheki pale level 8.Kuna song moja linaitwa ni Pendo lile acha aisee utamu wake hauishi.Kwenye harusi yangu (sijui itakuwa lini) lazima mtoe burudani aisee.Nsali Masimbi
ReplyDeleteathanas nywele ziko wapi?
ReplyDeleteathanas nawatakia baraka ktk kazi zenu na mkeo carolla. p.lyimo
ReplyDeleteKAFANANA NA JAY Z KINOMA, UTAFIKILI MAPACHA. KWELI DUNIANI WAWILIWAWILI.....
ReplyDeleteUncle Athanas uko juu!
ReplyDeleteHongera sana Athanasis na Carola!!Kazi nzuri....msalimie sana Fred Bonge....!
ReplyDeletetwaomba mawasiliano yake plizzz
ReplyDeletetunapenda vitu live kama hivi