Home
Unlabelled
cheka unenepe: akili ni mali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MICHUZI HIYO GARI ITATOKAJE HAPO BAADA YA KUJENGWA HUO UZIO? HIYO NI SAWA NA KUKATA TAWI LA MTI ULILOKALIA KISHA UNAANGUKA NALO.
ReplyDeletemkuu michuzi mara ngapi utaleta hii kitu? hivo vizuizi ni removable mkuu wangu na vinakuwa na locks. Nikipita sehemu ambapo vipo huku ughaibuni nitakutumia picha mkuu wangu ili umalize hili tatizo!
ReplyDeleteAh hiyo gari hapo inatoka bila ya wasiwasi. Dunia imeendelea sana kuna mawinchi yatakuja hapo na kuibeba.
ReplyDeletePili, inawezekana kuwa hizo poles in detachables, kwa hiyo wakimaliza wanazichomoa kutoka katika kitako chake gari inapita halafu zinarejeshwa kwa ajili ya kufunga uzio
HAKI YA MUNGU SIJAELEWA
ReplyDeleteHapo nadhani ni NBC Corporate Branch na hao ni mafundi wa BH Ladwa. Halafu upenyo baina ya kiguzo na kiguzo inaonyesha kuwa hicho kigari kitapenya.
ReplyDeletena mimi nilikuwa sijaelewa. ushamba mzigo wa kuni.
ReplyDeletehizo nguzo huwa ninaweza kufungiliwa kufuli kwa chini na kisha kulazwa, ila sio kama kuna ugumu wowote kutoka hapo, wabeba mabox ndio kazi kazi zetu hizo hatushangai sana tena inalipa kwa sana.
ReplyDeleteHizo poles zinatoka.Coz I have seen them somewhere where wanazitoa kama screw au msumali. i dont know niiteje lakini I know zinatoka.
ReplyDeleteAisee hicho chuma cha kushoto kirefu kuliko kuliko vingine, kina sensor na huwa kinazama chini kuruhusu magari kupita. huku Ughaibuni ni vitu vya kawaida
ReplyDeletemdau Trondheim
WALA SIKUELEWA NILIDHANI KUNA MDAU KAMPIGA PICHA MABEBA MABOX MWENZIE ANATAKA BAADAE ATUPE JINA AHHAHAH
ReplyDeleteNenda kwenye geti la kutokea katika parking lot ya AICC Arusha utaona mfano wake. Chuma hizo zinazama chini kwa umeme au hydrolic.
ReplyDeleteuwiiiiiiiii hata mie nilikuwa nimeachwa hapo sikuelewa kabisa....aaah mpk kusoma comment ndio nkajua maana ya picha....uwiiii kichwa cha pazi msinilaumu!
ReplyDeletejamani hizo poles inawezekana ni automatic ambapo zina-sense gari na kubonyea chini halafu zinarudi juu gari likishapita.ila zina sense authorized cars/buses only.hapa UK zipo kibao kwa ajili ya kulimit magari yanayopita au kupark kwenye hiyo barabara/sehemu.
ReplyDeleteSIYO LOCKS TU, KUNA VINGINE VINAZAMA CHINI KWA KUTUMIA REMOTE CONTROL, VINGINE NINA SENSOR GARI IKIKARIBIA VINAZAMA ARDHINI NA IKIPITA VINATOKA, TEMBEANI MUONE MAMBO.
ReplyDeletembona sijao cha ajabu hizi poles zinawekwa tu na kutulewa is not permanent, ie movable poles hakuna cha zaidi michuzi
ReplyDeleteVINACHOMOKA HIVYO
ReplyDeletenimeamini wabeba mabox wangi,kaka wadau wengi wako wanabeba mabox?mwezangu na mimi ningejulia wap?
ReplyDelete