Darda King. Chini ni link za maduka kinapopatikana
Home
Unlabelled
Darda King aja kivingine
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nataka nikikute Elimu Supplies.
ReplyDeletehatua nzuri na yenye mwelekeo wa maendeleo. tatizo ni moja, branding ni poor.
ReplyDeletejina darda king haliendani na mashairi ya kiswahili, nadhani tatizo hili ni reflection ya artists wetu wote - wanapenda majina ya kiingereza, isipokuwa nakaaya na baadhi wachache.haina maana kwamba hatauza copies though.
iron ni kwamba kati yao, nakaaya anayemudu vyema kiingereza, hana ulimbukeni wa majina ya ajabu.
tunataka branding ya kiswahili.
Mdau hajatueleza walio bongo watakipata wapi kitabu hiki.
ReplyDeleteSalaam Wazawa,
ReplyDeleteMara nipatapo jibu kutoka kwa wasambazaji wa vitabu Afrika Mashariki nitawataarifu maduka kitakapopatikana kitabu hiki murua.
Wasalaam.