Meneja Matangazo na Promosheni wa Tigo Redemptus Masanja (kulia) akikabidhi zawadi ya shs milioni moja kwa mmoja wa washindi wa promosheni ya Tigo Lotto, Imaculata Anna Sanga mkazi wa Tegeta Dar es Salaam katika ofisi za Tigo jijini Dar leo. Katikati ni Meneja Masoko wa Selcom Gaming, Juma Mgori.
Mmoja wa washindi wa promosheni ya Tigo Lotto Imaculata Anna Sanga mkazi wa Tegeta Dar es Salaam akionyesha zawadi yake fedha taslimu shs milioni moja muda mfupi baada yha kukabidhiwa katika ofisi za Tigo jijini Dar leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani naomba mssada. Kwani noti za elfu kumi si zilikuwa za bluu? Zimebadilishwa lini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...