Francis Cheka (kulia) akirusha makombora kwa Japhet Kaseba
Bondia Francis Cheka wa Mji Kasoro Bahari amesema anataka kucheza tena na Japhet Kaseba katika Kick Boxing ili kumaliza kabisa ubishi kwamba kama ilivyokuwa enzi zile za Stanley Mabesi, basi yeye ndiye mfalme wa ulingo kwa sasa nchini.
Kaeba hakuweza kupatikana mara moja kwa majibu, ila endapo kama pambano la Cheka na Kaeba litafanyika, itakuwa ni historia ya pekee nchini, Sfrica na duniani kwa jumla kwa mabondia wawili kumenyana katika tasni mbili tofauti.
Katika mpambano uliopita ukiofanyika neshno ya zamani na kushuhudiwa na umati mkubwa, mambo hayakuwa mambo kwa Japhet Kaseba baaada ya Francis Cheka kushinda pambano lao hilo lenye raundi 12 la uzani wa welter weight kwa KO ya raundi ya tisa.
Mbese vipi tena babu unatuangusha. Gangamara mwana..ila next time nujua utashinda.
ReplyDeletenice one....sikuzote mdomo ndio unaokiponza kichwa
ReplyDeleteLooks like boxing not kickboxing.The Gears suggest it was boxing.Boxing and kickboxing are two different games.
ReplyDeletekweli iyo ni boxing kwani kuna mtu amesema iyo ni kick boxing??labda nikusaidie, Francis Cheka na Japhet kaseba walipigana kwenye boxing na Cheka kuibuka mshindi, sasa Cheka anataka apambane na kaseba kwenye Kick boxing pia ili aonyeshe umwamba wake.Kumbuka kuwa Kaseba kabla ya kuingia kwenye boxing alikuwa bingwa kwenye kick boxing na hakuwa na mpinzani..Sasa cheka anataka ampige kwenye michezo yote miwili..
ReplyDeleteLakini Mdogo wangu nilimwonya kuwa asipalamie fani za watu BOXING. Ndio nakubali kwa KICKBOXING yeye ni mfalme. Pia asitake masifa ya kijinga kwa haraka haraka mara fani hii mara ile. Kwanza komaa na hii iliyokupa huu umaarufu. ONA SASA!!! AIBU HII, KO!! MIGUU JUU KA MENDE. UTULIAGE ACHA MAPEPE.
ReplyDeleteUNAONA SASA; HIZO KAMBA ZA ULINGONI NI ZA KUTOKA CHINA. WEWE UMEONA WAPI KAMBA ZA ULINGO ZINAKUWA LEGEVU NAMNA HIYO.
ReplyDeleteHAWA WACHINA HAWA...
JAPHET.
ReplyDeleteKAKA NI KAKA TU, NAKUJUA VIZURI UFANYAJI MAZOEZI WAKO, MDA MREFU SANA KTK GYM YA BMK, LONGTIME TABIA YAKO, UNAPENDA KUJIONYESHA UNAWEZA ZOEZI, ILA WEWE ILIKUWA BADO SANA KUCHEZA BOX, MAANA BOX HAITAKI UTOTO, FATILIA AKINA TYSON, AU MWOMBE CHEKA AKUFUNDISHE KAMA UKO INTREST, ILA PIA SIO ULINGONI JIFUNZIE MITAANI NA UMLIPE, KUOMBA PAMBANO SIO KUJIFUNZA UZA PIKIPIKI ULIPE ADA KWA CHEKA BOX INAPESA SANA, ITALIPA ILA USIDANDIE GARI KWA MBELE KASOMEE, ONA UMEZIDIWA HUELEWI KUWEKA MIKONO JUU LEFARII ATAJUAJE? INAONYESHA HATA KIDOGO HUJUI BOX ILA NGUVU UNAZO ILA SIO ZA KUMSUMBUA CHEKA UWEZO WA CHEKA NI KAMA LENOX LEWIS WEWE HUWEZI KAMA UNAPESA MPOROMOTI AENDE MBELE ILA UKIOMBA PAMBANO ATAHARIBU UBONGO WAKO BURE, SI UNAONA MUHAMAD ALLY NICHIZI NGUMI UIMUDU ILA SIO NZURI SANA KAMA HUWEZI UTAKUFA. job.
Du!balaaaaaaaaaaaa! watu wanatoa dozi!
ReplyDeleteI know Japhet very well, yeye X factor yake ni kwenye Miguu.Angalia mechi zake za kick boxing, anaanza kumpiga mpinzani miguuni kwa wingi.Mguu wake ni chuma, na unalegeza uwezo wa miguu ya mpinzani kubeba mwili.Nilimkataza asiingie boxing, nguvu za mikono hana
ReplyDeleteJaphet kumbuka enzi zetu Coloseum, pole
Cheka akirogwa kupigana na Kaseba katika kick boxing, AMEKWISHA!!! Na inabidi siku hiyo washikaji wake waje na machela kwani lazima avunjwe miguu! Kaseba ana nguvu za ajabu za miguu.
ReplyDeletesio lazima bwana anawweza akapigwa vile vile!! cheka hata akimwili tu hailingani hata kidogo.yaani kaseb anweza akapigwa tena hat kwenye kick boxing
ReplyDelete