Home
Unlabelled
jackson na martha wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera maharusi, ila Anko viatu vina Vumbi, ulienda harusini kwa mguu nini...DUH, pole.
ReplyDeletehongra maharusi
ReplyDeleteingekuwa sio mzungu anatoa pongezi sidhani kama wangegeuza shingo na kushangaa hivyo
oya weee
Anko eeh! kweli wewe msaka nyoka. Yaani mtu akiangalia miguu yako jinsi viatu vi8livyokuwa na vumbi inaonekana kuwa Anko ni mpiganaji hasa. Kale kausafiri vipi wenyewe wameshakachukua?, maana haya mambo ya kusaga sisimizi na vumbi la bongo inabidi umuone shoe shiner kila mwisho wa safari
ReplyDeleteBy the way hongereni maharusi
kwa kweli vigogo wa marketing mmependeza ile mbaya,hongera sana kigogo Jackson!Tino unang'aa,masanja tu ndo sijamwona team ikamilike?
ReplyDeleteKigogo wa mby-UK
Ankoo tangu tukusifie hizo pamba basi imekuwa nongwa! umezitinga hizo hizo wiki nzimaa! mpaka kwenye mnuso umetinga nazo na joto lote hilo la bongo! Na inaelekea umetembea toka tandika mpaka mjini kwani hicho kiatu haujakifuta vumbi! hahaaaaaa uzuri wa kuwa na mjomba unamtania unavyotaka! chereees!
ReplyDeletehongera sana maharusi hasa bibi harusi amependeza sana nije kwa bwana harusi nafikiri kwako liwe somo kwa wasiofunga ndoa kwani naona suti km amekosa mazoezi kwako hili usiiogope
ReplyDeletenaomba nitoe ushauri kwa wale mamboa wanataka kuoa kuwa wanunue suti mapema ikiwezekana hata miezi miwili hili yafuatayo yafanyike
1.kuifanyia mazoezi kidogo ukiwa kwenye kioo kikubwa chumbani kwako
2.kuangalia uwezekano wa kuitawala suti hiyo hili ikutoe kwa sana
3.pia uweze kuwa na pozi la kupiga picha vizuri maana suti ina pozi zake jamani
asante
HONGERENI MAHARUSI. ILA KAKA MICHUZI ANGALIA SANA HILO TUMBO FANYA MAZOEZI NA UPUNGUZE MAUGALI
ReplyDelete