FAMILIA YA KAHEMA TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA YETU MPENDWA MAMA E. KAHEMA (PICHANI) KILICHOTOKEA GHAFLA SIKU ALHAMISI YA TAREHE 08/10/09 MAENEO YA MANZESE AKIWA ANAENDESHA GARI YAKE AKIELEKEA KWENYE SHEREHE YA HARUSI.


MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU CHANG'OMBE MADUKA MAWILI.MUNGU AILAZE PEMA ROHO YA MAREHEMU MAMA YETU-AMIN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Bonnie and you family poleni sana...Mungu awaguse katika kipindi hiki kigumu

    ReplyDelete
  2. Poleni sana wafiwa wote hasa familia ya marehemu. Najua ilivyo vigumu kumpoteza Mama. Mungu awatie nguvu. Eugenia.

    ReplyDelete
  3. Akiwa anaendesha gari yake unamaanisha nini? Heart attack ama accident? R.I.P mama!

    ReplyDelete
  4. maskini bonny pole sana kwa pigo hilo kubwa mno..ni mapenzi tu ya mungu.

    ReplyDelete
  5. RIP - was she the mother of Jo Kahema Mwita? My condolences to the families...

    ReplyDelete
  6. Poleni sana wafiwa. Samahani huyu ni mama Bonnie waliyekuwa anaishi Kurasini ana mdogo wake anaitwa Rhoda or we use to call her mama mdogo Rhoda?

    ReplyDelete
  7. RIP mum,wil always remeber you
    Angel

    ReplyDelete
  8. Its one year since to date a light from our family has gone, A voice we loved is still here, A place is vacant in our home, No-one can ever fill, The blow was hard, the shock severe to part with one we loved so dear, Our loss is great, we'll not complain But trust in God to meet again God saw you getting weary And did what He thought best, He put His arms around you, And took you home to rest. Your love for your family true You did your best for all of us we will always remember you.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...