
Pata Nakala Yako ya Base Magazine.
# 1 Tanzania Entertainment Magazine.
Katika toleo hili...
Pata Uhondo wa habari za Burudani na Michezo.
*Kutana na Adam Juma mtaalamu aliyebobea kwa Video za Muziki wa Bongo, je wafahamu kuwa ni actor wa Kimataifa?;
*Pata sababu iliyomfanya Jose Mara toka wazee wa Ngwasuma Kutoa Chozi la Yatima;
*Kutana na 9ja new export D Banj, U must Fall in Love;
*Wakati wasanii wa Uganda Wakifaidi Corporate Endorsement mbona makampuni ya Bongo yana Imani ndogo na wasanii wa Bongo Fleva?
*Pata Majibu; Wadada Jihadharini na Fataki (Relationship), Plus Kali toka Marlow, Cpwaa Na Bingwa wa Back Up bongo DJ CHOKA.
Kama Haitoshi utajipatia Jarida la Entaprena kwa Wajasilia Mali wa leo na Wajao, kwa Mchango wa shilingi elfu Mbili tu
Kaka MICHUZI huyo ADAM JUMA ni kichwa ile mbaya kwenye mambo ya VIDEO nampa Big up sana kwa kazi nzuri anayoyoifanya!!!
ReplyDeleteMdau-Ukerewe!!!
Adam Juma alikuwa class mate wangu pale Kinondoni muslim...its almost ten yrs hatujaonana.Anyway big up brother.
ReplyDeleteMdau Sweden
Yoyote anaweza kunisaidia contact za wanaoendesha gazeti hili, pia contact za huyo Adam Juma. Unaweza kuweka hapa au kunitumia katika ppr@SabaSevenWorld.com. Nitashukuru.
ReplyDeleteMmmmh, that's my hunky bro there. I am proud of you biggie ... TJ!!
ReplyDeleteWewe mdau unayetaka contacts za ADAMU JUMA embu ingia Google type VISUAL LAB utapata details zote za huyo mdau unayemtaka.na contacts la hiyo Magazine labda Kaka MICHUZI atanisaidia mi sizijui ni hayo tu.
ReplyDeleteMdau-Ukerewe!!!
Hilo gazeti linauzwa...ukinunua ndania kuna page ya address na contact cordinates za owner..simple
ReplyDeleteasanteni anon wawili wa mwisho. Nimeshapata email ya adam. Hilo gazeti nitalitafuta.
ReplyDelete