Home
Unlabelled
jengo la simba mtaa wa msimbazi street
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapa labda ipatikane EPA nyingine ili upatikanaji wa fedha kama ilivyokuwa kwa watani zipatikane!!!
ReplyDeletelimefubaa
ReplyDeleteSpeaking of sports club, wadau ninafurahi kuwaambia niko kwenye hatua za mwanzo kuanzisha a sports club. Nitaweka maelezo zaidi in 2 weeks katika www.SabaSevenWorld.com. It's an ambitious idea lakini ninayodhani itafika mbali.
ReplyDeleteSawa"Mtaa wa Msimbazi street" umechanganya maneno kaka..........
ReplyDeletekiswahili bwana! kwa nini usiishie mstaa wa Msimbazi tu, kuliko kusema "mtaa wa msimbazi street" au ulikimbia umande?
ReplyDeleteTEh teh teh teh....unatafuta matusi, tena ya nguoni ha hahahaa........
ReplyDeleteMTUME AIBUUU
ReplyDeleteMUHIMU KWETU KUPIGA BALL TUUU
ReplyDeleteMambo ya Simba tuachieni wanaSimba tafadhali... tuna mipango nalo endelevu hilo jengo, tunakusanya kodi ya hilo la pembeni zikishatimia tunakarabati hilo hapo
ReplyDeleteembu tuonyeshe na la YANGA tafadhali
ReplyDeleteMtaa was Msimbazi street...ni sawa sawa na center bolti ya kati kati...
ReplyDeleteregardless Michu I was born in dar & Msimbazi street accross from Simba sports club...I love the memories,,,asante sana for the memories