anko nanihii ambaye bado anakulwa vekesheni a-taun akiwasili kiwanja cha ndege cha seronera tayari kwa kuelekea mbuga ya serengeti, akiwa ametumia ndege ya kampuni iitwayo 540 ambayo inahudumia mitaa ya huku, ina mpango wa kuanza kuhudumia dar na zenji hivi karibuni. wana ndege ndogokama kumi hivi za abiria toka wanne hadi 30 na bei yao karibu na bure.
wadau wa fly540.com

tabasamu tamu toka kwa mhudumu
raha tupu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. PETER NALITOLELAOctober 04, 2009

    UNCLE MISUZI MIMI NAKASWALI KA KIZUSHI TU...

    MICHUZI MIMI NINA KASWALI KA KIZUSHI ETI HIVI MUTU UNARUHUSIWA KULA URODA NDANI YA NDEGE? NIMEOTA MARA TANO NAKULA URODA NA MUHUDUMU NDANI YA KLM SASA SIJUI INAMAANISHA NIJARIBU SIKU MOJA AMA VIJE? NA KAMA KUNA MUDAU KESHA JARIBU BASI ANITONYE UTAMU WAKE BASI!

    ReplyDelete
  2. Mh Raha Tupu wapi hapo Nanihii Orange Au Brown????.. Pazi.

    ReplyDelete
  3. Balozi inabidi ufanye juhudi kuziba pengo na Mama Mamou, huyo hostess naona umemtolea mimate vipaja vyake...eti raha tupu, ehehehee...hujatulia kiongozi

    ReplyDelete
  4. kaka MICHUZI huo uwanja wa ndege ni KIMEO.halafu huyo dada aliyevaa nguo ya njano hayo mapaja mhhhh mi sisemi naomba mawasiliano yake tafazari.vakesheni njema kaka.
    MDAU-UKEREWE!!!

    ReplyDelete
  5. basi utakuta hapo wahudumu wakenya mi sipendi yaani ningekua mimi ningejitahidi kuwahimiza wasichana waje waombe kazi hizi sio umiss tu au model peke yake,na kuhusu matangazo ya utalii bado kuna watu hawajui lolote kuhusu utalii wa tanzania wala mlima kilimanjaro tukipata ndege yetu itasaidia kuamsha furaha ya wageni kuja maana ndani ya ndege una wapa matangazo yote yakuvutia na maelekezo muhim.

    ReplyDelete
  6. hahaha michuzi muhuni kweli....eti raha tupu.

    ReplyDelete
  7. kaka misoup huo ndo ukubwa kushangilia liverfool lazime uwe na moyo wa chuma pole kaka ndo game lakini roho inahuma mkubwa

    ReplyDelete
  8. Balozi wa nanii,
    pamoja na kuwa vekesheni lakini habari ndio hiyo Bwawa la maini wamepigwa miguu ya kuku (2-0),na nanusura wapate bajaji yaani 3-0.
    poleni sana,sie gunner msmbo mswano kabisa.
    vekesheni njema.
    mdau wa Lusungo Ipinda Kyela.

    ReplyDelete
  9. We Michuzi kumbe na we Mkware kama mimi sio?
    Karibu kilabuni.

    Hapo najua umetaka kutuonyesha hayo mapaja ya huyo demu alievaa kiminmi cha njano tu.

    Duh!Lakini mwanangu ulivumilia kweli? Mi nisingeweza! Mweeh!

    ReplyDelete
  10. mambo sisi mabaya mkuu wa wilaya nanii, leo naona una bullet proof, ila maji naona yako pembeni.

    ReplyDelete
  11. Hiyo picha ya mwisho hapo kaka,kwa kweli ni raha tupu kaka.

    Mkulima-kijijini Gezaulole.

    ReplyDelete
  12. Kaka Michuzi mbona unatubania habari za kufanya vizuri kwa governor wetu wa central bank Benno?

    ReplyDelete
  13. Hivyo vishada mie sipandi ngó,
    vinayumba hewani mpaka unajikojolea kwa woga.

    ReplyDelete
  14. ank0 nanihii pole na kufungwa bao 2-0 na chelsea, usijikaushe tafazali break hiyo nyuzi naona unataka kupretend uko mbugani huna hizo taarifa!

    ReplyDelete
  15. chelsea wameweka daraja (s.Bridge) wamegoma kuzama kwenye bwawa la maini (Liver pool)
    chelsea 2-0 liverpool.

    ReplyDelete
  16. Mweee
    hiyo picha ya kwaza looo
    mbona huo uwanja una mabonde na mishimo namna hiyo? ni salama kweli?
    duh Bongo yetu bwana lol

    ReplyDelete
  17. kaka michuzi, UPO JUU SAANAA!. kwa habari moto moto, matukio yanayojiri hukosi kuyaripoti mara moja. Kwa kweli sisi tulioko nje ya nchi tunajikuta tuko-uptodate na habari za nyumbani hata tofauti na watu ambao wapo hapo bongo. Kuna matukio mengi sana tunayapata ambapo ukimuuliza kwa simu mtu wa bongo anakuwa hajui. HONGERA SANA KAKA. TUKO PAMOJA NA WEWE. MICHUZI HUREEEEEEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  18. HII FLY 540 KWA KWELI IJE TU KUANZA DAR BCOZ TUNAISUBIRI KWA HAMU SANA TUWEZE KWENDA SAFARI ZETU MANA NAULI KAKA KAMA ULIVOSEMA NI BEI CHEEEEE, NA NIMESHUHUDIA TOTOZ KUANZIA OFISINI KWAO PALE SAMORA DAR HADI KWENYE NDEGE KILA SEHEM YANI IJE TU MUNGU AIJAALIE TUENDE MOMBASA KWA BEI $147 TU ASANTE KAKA KWA KUTUONESHA ANGALAU ZILIVO NDEGE ZAO. NA HUYO ANASEMA NI NJANO COLOUR SIO NJANO NI ORANGE COLOUR BYEEEE. TEMBELEA KAMA MM NILIVO TEMBELEA OFISINI KWAO PALE DAR USHUHUDIE THX KAKA.

    ReplyDelete
  19. KWA TAARIFA TU NDEGE NDOGO HUTUA POPOTE MRADI PASIWE NA MITI AU NYUMBA, KAMA UWANJA WA MPIRA TWENDE, BARABARANI SAWA TUU ZENYEWE HAZIHITAJI EAPOTI.

    ReplyDelete
  20. anonymous 05oct,04:21:00 uliesema Hivyo vishada mie sipandi ngó,
    vinayumba hewani mpaka unajikojolea kwa woga.naomba nikurekebishe tangia lini vindege vidogo vyenye kubeba abiria kuanzia wawili,wanne,sita visiyumbe?lazima viyumbe kwani weight yake angani inakuwa ndogo kwahiyo lazima viyumbe.

    ReplyDelete
  21. naomba nimsupport anonymous hapo juu hata mie pia nimewashuhudia totoz za 540 pale samora opposite tanesco (wizara ya nishati na madini)beside steers asikwambie mtu kuna totoz za kufa mtu za kukata na shoka chezea wao wazuri kupita maelezo naomba uende kuwatembelea ukajionee mwenyewe halafu utaniambia.totoz zinadatisha kwa uzuri mashaallah,customer care nzuri kila kitu kizuri mpaka unapanda juu ya ndege service nzuri sijawahi ona hata klm haioni kitu,tembelea mwenyewe ujionee totoz utaniambia.Nawafagilia totoz za 540 samora kupita maelezo, michuzi ukienda kuwatembelea ofisini kwao naomba nishtue tuende wote mwenyewe ukashuhudie nikusindikize.usikubali kuambiwa kajionee mwenyewe.

    ReplyDelete
  22. mpendwa hapo juu nakubaliana na wewe kweli totoz za pale kiboko kwa uzuri wanajua kuchagua kweli michuzi nenda kajionee mwenyewe.

    ReplyDelete
  23. Michuzi,
    Uwanja wa ndege wa Seronera upo ndani ya Mbuga ya Serengeti.
    kaka hapo ulipo simama na kupiga picha ni ndani ya hifadhi, ukishangaa simba anakugeuza kitoweo. Inatisha lakini inasisimua pia

    ReplyDelete
  24. Typical guy stuff! Instead of saying she is wearing a nice uniform, or she is taking a break after working hard, you men look at her thighs! Quit thinking with your &^%&*!

    ReplyDelete
  25. "Bei zao ni kama bure" Huwezi kusema ni bei gani? Watanzania siye hatujui biashara kabisa. Tangaza bei weka kwenye mabano inaweza kubadilika wakati wowote. Angalau mtu anakua na idea ya bei ili asave au abajeti matumizi yake aweze kwenda huko...

    Kila siku bei ni kama bure....je ni shilling moja? Agrrrrrrrr

    Tueache biashara za wahindi hazitatupeleka mahali popote. Wako wazawa wengi tu wangependa kwenda huko na uwezo si ajabu upo lakini kwavile hawajui kuwa wanaweza kuafford basi wanawaachia tu nyie waandishi wa habari na watu waserikali mwende bure na watalii...kila kukicha watanzania hamtaki kutembelea mbuga zenu...kumbe hamna anayejua bei ni shillingi ngapi....weka price mtu ajue pa kuanzia

    ReplyDelete
  26. we anon hapo juu umeenda shule kweli? ulifanya research au project yeyote shule? unataka kila kitu utafuniwe ehh? utalala njaa siku moja kazi kusubiria uitwe chakula kishaiva..
    use a little brain and make effort to get what you want! Ushapewa jina la kampuni ya ndege FLY540 nini zaidi unataka? umeenda kutafuta website zao ukakosa bei?
    kukusaidia(only this time) nenda fly540.com au nenda google then search fly540 ukipata website zao tafuta bei
    If you still need more help I will have to charge you a fee!! it is always good to make money off lazy people for doing things that they can do themselves

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...