Mdau,
utanisahihisha kama nimekosea....
wanaotunza nyumba( usafi,mazingira, chumbani kwa mabosi) ni mahouse girl,
wanaotunza watoto ni mahouse girl,
wanaofuatilia maendeleo ya watoto ndio hao hao,
wanaomtayarishia baba mahitaji(maji ya kuoga, chai..nk.) bila kulalama uchovu ni mahousegirl
bila housegirl chakula hakipo, kikiwepo basi kitachelewa na ladha hairidhishi mpangilio wa chakula mama lazima apate ushauri wake....utasikia ...dada leo tunapika/tunakula nini?
Pamoja na mengineyo mengi akirudi mama huyu bado atampelekesha house girl bila kujali house girl huyu huyu hana uhuru wa kukaa meza moja kula chakula alichokiandaa mwenyewe akiwa na matajiri wake kosa dogo mtaa wa pili watalisikia kwa kelele zitakazotolewa na bibie tajiri akivaa vizuri pia nalo ni kosa endapo atasalimika kutuhumiwa mwizi hana haki ya kupumzika wala kula gudi taimu n.k ole wake acheke au atabasamu akiongea na baba then mama amuone kwa bahati mbaya...atakoma!
Mdau mie, sijui wengine.....I find it rahisi kumuomba/kumtuma hg maji ya kunywa, kubrashi viatu, maji ya kuoga, n.k kwani atavifanya bila kulalama au kukunja uso - usinielewe vibaya ( sijafika unakofikiria)...
TATIZO ni nini hasa? aaaaagghhhh!!!
inawezekana upo sahihi lakini naomba kufahamishwa zaidi, hivi majukumu ya HG ni nini hasa maana naona kama maelezo yako yanaonesha hayo uliotaja si majukumu yake. Na je inakuwaje baba mwenyenyumba anapoamua kumgeuza HG Nyumba ndogo kwa madai kama hayo, lakini ikitokea nyumba kubwa ikaamua kuachia ngazi na hiyo nyumba ndogo HG ikapata automatic neema ya kuwa nyumba kubwa, mboana baba huyohuyo huwa anakuja kuiona haifai na kuendelea tena kutafuta au kuwa na affairs tena na HG wengine. alafu unakuta huyo HG seniour analalamika na kutaka kuua mtu, anasahau kuwa hata yeye alishamfanyia mwenzake hivyohivyo, kwakweli inanichanganya, lakini naona mjadala kama umepotea nia pangime ungepelekwa kule Harusi Yangu labda ungechangiwa vizuri. Ni hayo tu
ReplyDeleteHouse girl anatakiwa aheshimiwe sana na kulipwa vizuri angalau kima cha chini cha mshahara, pamoja na marupu rupu mengine kama malazi, nguo, usafiri wakati akienda likizo, matibabu n.k kwa kuwa akiamua anaweza kuua familia nzima kwa sababu yeye ndiye anayefanya kila kitu nyumbani. Akina mama wengi hawakubali haya lakini ukweli ndio huo hasa wa siku hizi, hawafanyi shughuli yoyote nyumbani hata planning na wengi wafanyakazi wanakwenda nyumbani jioni wakiwa tayari wamekula ktk mabaa!!!!
ReplyDeleteNa wewe baba kwanini unataka ufanyiwe vitu? Jihudumie mwenyewe acha unyanyasaji wa mkeo na hatimaye huyo house girl. Hujaoa mke ili awe mtumwa wako. Ni Mpenzi wako for god sake! Kama husaidii shughuli za ndani afanyaje?
ReplyDeleteyana ukweli saaaaaaaaana maelezo yako.mama wenye nyumba wana imba sana wimbo wa nimechoka nimechoka nimechoka ni verse na corus hiyohiyo....
ReplyDeletewatu wametekwa na wamepatikana na utandawazi,kila kukicha wanatafuta pesa,pesa pesa,wanajenga nyumba hawamalizi, hawaridhiki hata kidogo...watu wanafanya kazi masaa24 hata kama mtu amelala anaota kazi tu. ndo maana maHG wanakiona cha moto mkirudi kila mtu anataka afanyiwe kazi kuanzia baba mwenye nyumba,mama na watoto....ndo maana na wao maHG uvumilivu unawashinda wanaamua kutoroka....watu wasipokuwa makini watakuwa watumwa wa pesa na utandawazi ,mwisho ukitaka kupumzika na kutumia ulichotafuta unakuta mna ukimwi tayari unajuuuuuuuuuuuuuuuuta halafu unakufa mapema .
Hizo ndo kazi za HG, kwa mjini unaondoka nyumbani asb na kurudi jioni uko hoi na foleni njiani ukifika nyumbani lazima HG awe ameandaa chakula na kuangalia watoto, nafikiri ndo makubaliano cha muhimu mpe mshahara wake anaostahili na kwa muda muafaka, mpe likizo pia na nauli ya kwenda na kurudi, mfanye kuwa mmoja wa familia yako.
ReplyDeleteUpande wa pili wa HG ni balaa ukitoa fursa ya wadau watoe malalamiko yao kuhusu HG huwezi amini hasa kwenye familia zenye watoto wachanga/wadogo.
Kuhusu HG kutembea na baba nafikiri tatizo liko kwa wanaume hata uwafanye nini wanaume hawaridhiki naungana na mdau wa kwanza kwamba hata mwanaume akimchukua HG bado kuna siku atamuacha na kuona mwingine.
Hivyo vitu unavyotaka kumtuma housegirl kama kuletewa maji ya kunywa, ya kuoga na kadhalika kwa nini basi usifanye mwenyewe. Kwani wewe kilema? sio lazima kazi za ndani afanye mke tu au housegirl. kama kinakukera kuwa na msaidizi ndani ya nyumba basi na wewe shughulika na kazi za nyumbani to the same extent na mkeo. Ebo!! Stop pointing fingers at others when you haven't taken a good look at yourself. In these days wives are also working, some have even more demanding jobs compared to their husbands. Why should they be expected to do all the housework when they get back from work? How come men are not expected to do the same thing? In this case many are hiding behind the CULTURE CURTAIN but even culture can shift towards a better direction. If you don't like the housegirl system then change it BUT BE THE FIRST ONE in the implementation of that change. Which means YOU SHOULD BE ACTIVELY involved in the house hold activities as well.This applies also in the households where women are housewives,you should bear in mind that being a housewife is a job that is as demanding as any other so it wouldn't harm you in any way if you do the drinking water fetching yourself .This way even house-girls can have little break times as well.It is true that in some households house-girls are maltreated but fingers should not be pointed at the mamas/wives only because if you look deeply at it bossy men like you are to be blamed as well.
ReplyDeletemtumwa
ReplyDeleteKwa ninvyokusoma wewe tayari shetani ameshakupanda kiasi kwamba kila anachofanya mkeo unaona kibaya. Ninvyoelewa mimi hakuna mwanamke anayependa kuishi na house girl kwani wana karaha sana, ila sasa majukumu yanapomzidia mke huyu ndo pale anapoamua kuweka house girl. Kwani unakuta mama anafanya kazi za kuajiriwa kama wewe mumewe na huenda mnarudi wote pamoja jioni kama siyo usiku kutokana na mafoleni ya barabarani, hivi ni kweli mkeo unayempenda unataka saa mbili usiku aingie jikoni aanze kupika na majukukumu mengine ya kawaida si atalala hoi hata hataweza kukuhudumia kama mumewe huko chumbani.Fikiria kazi za kufua kupiga deki, kuosha vyombo usafi kwa ujumla na kama kuna watoto ina maana labda mama aache kazi akae nyumbani kulea watoto, je unadhani utamanage kuprovide kwa familia nzima peke yako? House kama house girl ni kwamba yupo kazini na wajibu wake ni kutekeleza majukumu yote aliyoachiwa na mama ikiwemo kupika, kulea watoto, kubrashi viatu na nyingine zote mama anazoona house girl anatakiwa kuzifanya na asipofanya kwa ufasaha wakati kesha elekezwa zaidi ya mara moja ni kweli lazima afokewe kwani wewe kazini usipotimiza wajibu wako hufokewi???? Na kuhusu kucheka na baba ni kweli lazima uliangalie mara mbili kwani ndilo lililomleta??? jifanye wewe ni banker unafanya benki unataka kusema mahela ya watu ukiyachezea ofisi itakuachia tu????? Ukweli ni kwamba house girls wana majukumu makubwa na kwa sisi wenye kuelewana na wenzetu (waume kwa wake)tunawaheshimu na kuwatunza mahouse girl kwani wanatulelea watoto wetu baada ya kutoka shule na kwa wale watoto wadogo zaidi ni kweli wanashinda nao wakati sisi tupo makazini, pia wanatupikia vyakula vyetu.Huu ni wajibu wao!!!
ReplyDeleteSasa nakurudia wewe kama mume, unajua kuwa kuna wakati unatakiwa kumsaidia mkeo baadhi ya majukumu?? Kwa mfano huko kubrashi viatu nadhani hata wewe ungeweza kubrashi vyako na vyake na vya watoto juu na pia kama unampenda sana huyo house girl wako na vyake ungechukua umbrashie pia. Inavyoonekana wewe ni "bwanyenye" unataka hata maji ya kuoga uwekewe hivi kwenye shower unataka mtu akufungulie bomba au akufanyie nini?? Kama unaishi kwenye nyumba ya choo na bafu vipo kilometa kadhaa toka nyumbani basi pole yako inabidi ujibane ujenge nyumba ya kileo na mkeo umuachishe kazi (kama atakubali) ndio uanze kumtumikisha.
USAURI WA BURE - Kaa na mkeo mzungumze juu ya ndoa yenu na majukumu yenu kama watu wazima yaani baba na mama wa familia. Vinginevyo mchuzi wenu utachina babu mwisho uanze kutafuta mchuzi wa moto moto wenye pili pili bure kwa house girl wako.
Mkubwa, nadhani kwa kiswahili HG inaleta maana nzuri zaidi "Msaidizi wa Ndani". It's a job, anafanya kazi zote za ndani. She can't cover for "mama" on the bed though, kwa sababu - to be honest, that's not kazi. Seek consultations for ways to rejuvenate your marital relationship which seems to be down.
ReplyDeleteKweli wanaume wamezidi kupenda kufanyiwa kila kitu kama vile ni walemavu, hata maji ya kunywa mletewe, it is boring with this culture na inazidi kusambaa make hata ukiwa na mtoto wa kiume anakuwa akiona hali hiyo hivyo ni rahisi kuendeleza katika ubaba wake. Wanaume pse nyie si walemavu!
ReplyDeleteyaani mimi nina house girl wangu miaka 7 sasa na anafanya kazi monday to friday from 7pm to 6pm. jumamosi na jumapil ni siku ya family yaani mimi mme wangu na watoto tu, ninafanya kazi za nyumbani jumamosi na jumapili kama kuwatoa watoto out,nk. namlipa mshahara mwisho wa mwezi 120,000 and then kila mwisho wa week ijumaa nampa kitu kidogo for the week end kwani huwa halali nyumbani kwangu, amepanga kwake. na kama nina shuguli week end namwomba aje na namlipa overtime. I think ndivyo inatakiwa au! uzuri zaidi anafunga ndoa mwakani na nitamgaramia garama zote za harusi na ataendelea kufanya kazi kwangu! I love her , I trust and she is a part of my life and I respect her a lot Thanx magie!
ReplyDeleteJamaa hapa ametaka kuwajulisha kuhusu house gal asivyothaminiwa kama binadamu ktk familia kwakuwa tu analipwa na anakula na kulala bure,this is uncivilized act na inareflect roho ya mtu ndani ipo vipi kwani haifichiki una roho mbaya una roho mbaya tu...
ReplyDeletekina mama huwa wanamatatizo sana na na hawa wadada huwa hawana amani warudipo nyumbani
stupid
ReplyDeleteso what?ulishwe kabisa au?iyo ni kazi ndo mana unalipwa ujira kama vipi acha kazi shinda home au mkeo aache kazi ashinde home awe anakuletea maji kochini,au oa uyo HG nae atatafuta tu HG pia hahahaaa
swali:ulioa mke anayechakalika kama wewew wa nini?sii ungetafuta mama wa nyumbani awe apika apakua for yu?nonsense
kama hamsaidiani kazi za house jua HG lazima AAJIRIWE apo
Kweli kabisa wadau mmechangia vizuri sana, hawa wanaume wanajifanya kuwa wao ni wa kukaa tu mke ndio afanye kila kitu, utafikiri ni walemavu hata walemavu wanajituma haswaa.
ReplyDeleteWanaume ni kuwa hawajui tuu thamani ya mwanamke. Mke akiolewa sio kuwa ni wakuja kukufanyia kazi.
ReplyDeleteMfano dini ya kiislamu maamrisho yake hasaa Mke nip ambo la nyumba, mke ni kwaajili yakukuridhisha wewe mwanaume, hata kukunyonyeshea watoto wako unatakiwa umlipe ujira. Mke anatakiwa akae ndani yeye na manukato mazuri yaani udi, msafi kwaajili ya mmewe. Kwahiyo nyie mnaodai mwanamke ndio anapaswa kufanya kazi mnakosea, chambueni maandiko yanasemaje.
Hiyo wanawake kuwafanyia waume kazi ni wao tuu wapende sio lazima.
Na house g kumbuka kuwa hiyo ndiyo ajira yake inayomuweka pale professional yake anapaswa kufanya kazi, ni sawa na wewe unapokaa ofisini na kufanya kazi zote zinazokupasa ndiyo ajira yako iliyokupeleka pale Mfano P.A ni msaidizi wa bosi ofisini ndivyo ilivyo Hg ni msaidizi wa mama nyumbani.
Ni kwa ukarimu tuu wa baadhi ya waafrika tunaona kuwa huyu house g hapaswi kufanya kazi zote lakini ukifuata kisheria ya kikazi hata kwa wazungu, waarabu huyu ni msaidizi wa ndani, ,msaidizi wa mama anapaswa kumsaidia mama kazi zote.
H girl anapaswa kufanya kazi zote zinazomuhusu za ndani ila tuu anapaswa kuheshimiwa kwani ndio ajira yake. Hapaswi kutukanwa na hata kupigwa. Hizo kazi ndizo zilizomleta hapo na ndizo zinazofanya alipwe msahara.
ReplyDeleteIla hawa wababa wamezidi jamani, wanatamani tamani hata wakati mwingine visivyofaa kutamani. Hata watoto wkati mwingine wanawatamani sembuse Hgirl. Ni genye zao tuu bwana.
Kuwa mwanaume haimaanishi kwamba wewe ni mlemavu na tena unahitaji kufanyiwa kila kitu, una kila kitu alichonacho mkeo. Wakati unaoa au aunaanzisha mahusioano na mtu ulijua kabisa huyo uliyenaye ni mfanyakazi kama wewe na anafanya kazi kama unavyofanya kazi sasa kwanini utegemee kila kitu kufanyiwa na mkeo! Huo ni ubepali na unyonyaji kisa tu wewe unaitwa mwanaume, Kuna mfano mmoja umeshawahi kumtokea shostito wangu wa karibu boyfriend wake aliamua kum-dump kwa sababu tu amesoma akaamua kwenda kwa hakielimu asiyesoma hardly alifanya kozi fupi za mwaka ambazo pia hakielimu alikuwa anafeli kila mara, baada ya kufatilia sababu mwanaume akadai anataka mwanamke asiyesoma ili aweze kumhudumia! Hebu jikusanyeni nyie wanaume wenye mawazo ya kibepali kama hayo! Kama unaona kuacha kazi ndiyo suluhu kwa maendeleo kwanini wewe usiache kazi ili mkeo a-provide kwa familia! Get Life you Mourners, I hate you mpaka mwisho kwa tabia zenu za kilemavu!
ReplyDeletembaya zaidi kimshahara elfu 10, 15, 20 kimshahara kikiwa juu ni 30 huu ni unyonyaji na ufisadi hata wao wanafamilia zao nyumbani nz zinzitaji msaada wao lakini mabosi wao asilimia kubwa wanawaona kama misukule flani sio fresh mie house gal wetu namtumiaga laki mbili kwa siri na wazazi hawajui manake ana mtoto kwao kweli jamani kama una kipato kizuri walau basi dau lipande saa nyingine nyinyi wakina baba hivyo ni viburudisho vyenu manake wakitokaga kijiji wakija town wanapendezaga kweli hata wavae maronya ronya sometimes wanan'gaa kuliko mother house
ReplyDeleteKAMA NITAELEWEKA VIBAYA SAMAHANI, ILA
ReplyDeleteUKWELI WANAUME NI WAOGA HATAKI KUONA MKE ANAPUMZIKA. HATA KAMA NI GLASI YA MAJI MPAKA AITE TENA KWA KUFOKA !!!! JAMANI KAMA WOTE MWATOKA KAZINI PIA HATA MWANAMKE ANA HAKI YA KUPUMZIKA. KAMA KAZI YA HG NYINGI NDIO MAANA WENGINE WANAAJIRI HATA WAWILI !!!
MWAMME USIOGOPE UKIONA MKEO AMEPUMZIKA KAMA WEWE JAMANI JIHUDUMIENI WAKATI WA UBWANYENYE UMEKWISHA NI KUCHAPA KAZI, ACHENI FIKRA POTOFU...
SIJUI !!!!!!
Wanawake wengi wataendelea kutumikishwa sababu ya mifumo yetu duni na mila zetu. Hata ukiwa katika kitchen party utakayo yasikia eti ukamtunze bwana umfanyie hivi na hivi hapa mimi naona si kweli.
ReplyDeleteMwanamke kafanywa ni chombo hivyo mwanaume amtumie atakavyo kwakweli uvumilivu wa namna hii kwasasa umepitwa na wakati kabisa. Nadhani wakati mwingine hg hasaidii kitu kwani mama anakuwa na majukumu mengi sana hasa akimpata HG kichwa mpingo mbona mama atazeeka halaka?
Wanaume mfumo dume umepitwa na wakati nyie zubaeni tu kama mlivyofundishwa na wazazi wenu eti nyie ndo kichwa cha nyumba ngojeni wanawake wapige kitabu mbona hamtawakamata?
Noma na iwe noma tumechoka.
Bila hata aibu unatoa post kama hiyo. Badala kufikiria ni jinsi gani wewe na mkeo mweze kua na maendeleo na kuwapeleka watoto wenu shule nzuri zaidi, unalalamika mkeo hakuletei maji ya kunya. Inaonesha jinsi gani kichwa kimejaa matope!!
ReplyDeleteMlivyokua mnasema wedding vows zenu kumbe ulikua huoi kwa mapenzi bali ili kumfanya awe shoe shiner wako? Lazma utambue nafasi ya mke na mama watoto wako hawezi kufanana hata siku mmoja na mfanya kazi wako wa ndani. Mliunganishwa kua kitu mmoja, usisahau hilo!
Acha utahira, kaa na mkeo mfanye mambo ya maendeleo. Jadilianeni jinsi ya kupanda juu kimaisha. Acha akili ya kitumwa, hutafika popote.
we baba fala kweli tena mshamba usiyejua nini maana ya mapenzi na role ya kila mhusika katika penzi! Mkeo sio mtumwa wako! Afrika tuko nyuma kimaendeleo kwa sababu ya masikini wa fikra kama wewe!Natamani kungekuwa na teknologia ya kugundua mtoto atakuwa na mchango gani katika taifa punde tu anapozaliwa.This way watu kama nyie mngebanwa tu during birth maana ni wapotezaji tu wa oxygen ya jamii.
ReplyDeleteWe anony hapo juu wa 12:11:00
ReplyDeleteWewe ndiye uliyemiss the whole point of hiyo post.Huyo fala anataka tu kufacilitate utumwa wa mwanamke katika society and if you support him in that then you as shallow as he is!!! Eti kina mama wana roho mbaya, What about nyie wanaume mnaotaka kuwatumikisha bila huruma wala consideration of how tired they maybe after work? basi nyie ndio mmewafundisha and activated hizo roho mbaya which make you even WORSE in the roho mbaya department!
I could have said more regarding p..s like you but then again I can not risk my comment not being posted. (Michuzi usinibanie comment yangu)
Biblia inasema. Mungu alimmba mtu ambaye ni mwanadamu(Adamu) Kwa mafano wake mungu. Halafu akamuumba mwanamke (hawa) kama msaidizi wa mwanamke. Wanawake mtasema mtacoka nyie ni wasidizi wa wanaume. Wanawake sio mfano wa mungu na si watu bali wasaidizi wa watu. Sio mimi bali biblia.Kama hamtaki mtaishia kutokuolewa. Tusaidieane kazi na wewe wakati nakulisha. Kuna kazi za kike kama kupika,kufua na kuosha vyombo. Usipofanya hizo na kumlazimisha mmeo akusaidie hata jamii itakucheka. Asilimia kubwa ya wanawake ni masikini na wataendelea kuwa masikini na kutugemea sisi wanaume, Wapende wasipende kwa mungu alituumba sisi wanaume kuwa na akili na nguvu kuliko wanawake. MFUMO DUME OYEE. NIMELIPASUA JIPU.
ReplyDeleteJAMANI HAINA MAANA MILA ZETU NDIYO ZINAVYOSEMA ILA INATEGEMEA TU NA MWANAUME MWENYEWE ALIVYOLELEWA PIA HAKILI YAKE NA MKE ATAKAEMPATA
ReplyDeleteMIMI BABA YETU ALIKUWA ANATUPIKIA CHAKULA NILIKUWA NAMPENDA SANA BAHATI MBAYA HIVI SASA NI MAREHEMU.
NA MIMI NIMEOLEWA MME WANGU TUNASAIDIANA KAZI UNAPASWA MWANAMKE UMUELIMISHE PIA MMEO KUWA TAZAMA NA MIMI NI MTU KAMA WEWE NACHOKA PIA NA KAMA KWELI UNANIPENDA SIDHANI KAMA UNAPASWA KUNITESA NA KAZI BILA KUNISAIDIA MWANAUME NI BINADAMU UKIMWAMBIA UKWELI SIKU YAKWANZA NA YA PILI ATALIFANYIA KAZI KAMA NI MSTAARABU UTAMUONA ANAANZA KIDOGO KIDOGO MWISHO ANAZOEA.
HATA WANZUNGU PIA WALIELIMISHWA MWISHO WAMESHAZOEA MBONA HUKU UGHAIBUNI WANAUME WA KI AFRIKA HAWANA ULE USHAMBA WA AFRIKA WA KUTESA WANAWAKE MME WANGU ANANISAIDIA NA WATOTO SAA NYINGINE WANAMUOMBA YEYE CHAKULA NA HUKU HAKUNA HOUSE GIRL WALA NINI WANAUME JIFUNZENI USAWA ACHENI HIRA HIZO NI HIRA TU UKIWA MWANAUME NANI KAKWAMBIA USICHOTE MAJI AU KIATU CHAKO MWENYEWE MKEO NDIYO AKISAFISHE ILI? HII NI KUONEA TU
hawa dada zetu bana wakisha tia mguu london tu nao wanataka wawe Londonerz eti mwanaume kwani kilema ulivokuwa hujamuona mamako anamhudumia babako? waulize shangazi yako who is the head of house watakwambia in africa the mume ni mfalme kama mmesahau ukienda kwa wapopo hivohivo all over Africa is our culture kama umesahu usiombe kuolewa africa hahaha iam the king of jungle
ReplyDeleteFanyeni kazi wenyewe...Cheap labor ndio maana manawaonea tu. Wangekua wanalipwa mishahara ya kweli sijui ni wangapi TANZANIA wangeweza kuafford hao watumishi wa ndani. Kweli mwawakandamiza sana bila kuw
ReplyDeleteJuzi tumeonyeshwa kwenye TV jinsi watu wasivyowajali maalbino Tanzania na wakamwonyesha Raisi wetu as if he doesn't care na soon watawatoboa jinsi mnavyonyanyasa watumishi wa ndani....
Boring!!!, this is a sort of lazy guys - they are like " someone to do it all for me". You see, then you get a picture that is not a "performer" even in the "chamber". Sijaipenda hiyo - men we got to talk to the mirror, why this continues even today?
ReplyDeleteHivi wewe anonymous wa saa 7:43 unatumia nini kufikiria, I have never ever seen such a silly comment like that, kama wanawake sio binadamu wanaume wanaweza kujizaa!!! Kuwa mstaarabu na u-post vitu vinavyoeleweka sio unajifanya unapasua jipu wakati hakuna kitu chochote cha maana unachoongea....yani ungekuwa mtoto wangu ningekufinya mashavu. Yani wewe nahisi una mchumba au mke ambaye hajasoma kwake kila kitu kwa mwanaume ni hewala hewala, unadhani unaweza ukaongea utumbop kama uliouongea kwa msomi, atakushinda kwa knockout! I wish hata usingepoteza muda kuandika. Michuzi usibanie post yangu nataka jamaa anisome na asirudie mara nyingine ku-post vitu vya ajabu
ReplyDeletehahahahah jamani wanaume wako wapi maana naona kama wachangiaji wakuu ni wakina mama tu??????????????? msiwalaumu sana hao wazee tokea wako wadogo wakina mama wenyewe unasikia kaka yako hatakiwi kuosha chombo na kuanya any other work inayohusu jiko. sasa unafikiri kijana akikua na kufika umri wa kuoa ataweza fanya chochote???????? kumbuken alishajengwa kuwa yy ni kidume kazi yake ni kutafuata tu na wala si kujioshea chombo nk. so wakina mama msiwalalamikie sana jamani anzen na hao watoto wenu kwanza maana watoto wa siku hz kidogo na yy anaita dada kweli tutafika wakina mama????????? we nid to change tumezid hata wazungu watoto wao uwa wanawtrain kuwa self reliant ndio maana kwao mahg sio ishu sana kama wabongo.
ReplyDeleteNYIE WOTE HAMUWAJUI VIZURI, KAMUULIZENI MAHITA.
ReplyDeleteUnaweza ukawa sahihi ila sio sana kwani sio wamama wote tuko hivyo esp mimi mwenyewe nikupe sheria za nyumbani kwangu kwa ufupi:naishi mimi mume wangu mtoto wetu mmoja wa miaka 3 na dada wa kazi,mimi na mume wangu tunafanya kazi,ratiba yangu ya miaka yote huwa naamka saa 4;30 asubuhi naandaa kila kitu cha mwanangu cha siku nzima ukiwemo uji chakula cha mchana na juice.Mimi sipikiwi huwa natoka job saa kumi na moja jioni kumi na mbili nakuwa nimefika home nakuwa tayari nina ratiba kichwani kuwa leo naenda kupika nini,nikifika home naingia jikoni naandaa dinner ambay naweka na poshion ya dada ya kula kesho mchana na hapo pia dada ana uhuru wa kula au kutengeneza anachotaka kwani chakula ni kitu kidogo sana ambacho kumnyanyasia binadamu ni dhambi kwa mungu.sifuliwi nguo zangu wala za mume wangu na dada pia katikati ya wiki hafui nguo zake kwani anazo za kutosha kuvaa jtatu mpaka ijumaa anakuwa anafua za mtoto tu.Jumamosi ni usafi wa wiki na ndio siku ya kufua nguo za watu wote ambapo tunaamka wote mimi na dada tunafanya usafi wa wiki na kufua nguo na pia chumba changu hakifanyiwi usafi na dada ni mimi au mume wangu.jpili ni siku ya kanisani nyumba nzima labda mtu ajisikie siku hiyo haendi kusali tena kwa sababu maalum ila ni kwamba must tukasali wote.mchana jpili ratiba yetu na kupata lunch nje ya nyumbani kwa hiyo wote tunatoka akiwemo dada wa kazi huwa sibagui kwani hata yeye anatafuta maisha kama watu wengine na anatakiiwa kuwa na uhuru.Akina mama wengi tunakosea sana katika kuishi na hawa wadada kwani tunatakiwa kujua kuwa hawa ndio waliobeba maisha yetu yote na pi a tunachowalipa kiwe sio kidogo kiasi cha kuona kwamba unanyanyasa jamani.Utaona msichana wako anaanza kukosa raha jaribu kumuliza tatizo ni nini mimi huwa napenda kukaa na msichana wangu na kuongea nae na kumueleza dunia ilivyo kwa sasa ili asitetereke na maisha na pia kumueleza maisha yalivyo juu kwa sasa ili kile kidogo anachopata ajue jinsi ya kukipangilia.
ReplyDeleteKeep blaming and the results will be
ReplyDeletea. Divorce
b. HIV
c. Unhappy relationship
d. All the above
Try to save your relationship for whatever you can do. Every partner should do whatever the other side want. Remember you have come from different families/backgrounds. TRADE OFF is the name of the game. You win some , you lose some. At the end of the day you are all happy and no above a,b,c,d.
K.O.R.
Mambo ya utamaduni tu kwamba wasaidizi wa ndani ni wasichana na kina mama wengi mama wa nyumbani (ingawa hii inabadilika) na kina baba wengi wanafanya kazi. Hebu fikiria kama msaidizi wa ndani ni wa kiume halafu mama anaomba afanyiwe shughuli ndogo ndogo, kama kuleta maji, kubrashi viatu, kusafisha ndani nk nk nk.
ReplyDeleteKwanini mnamwangalia housegal aliyeajiriwa kufanya kazi za ndani tu na kutuacha sie ambao tumeajiriwa maofisini??? kwani tofauti yake ni nini au kwa vile huyu anashinda nyumbani na kufaidi TV, Makochi AC na kila kitu kizuri ninachonunua mimi kwa kujinyima ili kupendezesha kwangu matokeo yake navitumia kwa lisaa limoja tu kwa siku wakati yeye anatumia kwa siku nzima? huku maofisini tulipo mbona tunafanya kazi zote tunazotumwa na waajiri wetu bila kulalamika??? kwani maana ya kuajiriwa ni nini? housegal nae inabidi afanye kazi zote ambazo ni za ndani kwa sababu ameajiriwa kwa ajili hiyo.
ReplyDeleteKwakweli huyu Mama (Anonymous 10:54:00 AM), nimezipenda sheria zake. Akina Mama wote wote wangekuwa na utaratibu kama huo,basi kungekuwa na amani kila nyumba wala mjadala kama huu usingekuwepo sasa hivi, tungekuwa tunajadili mambo ya maendeleo.Mungu aendelee kukubariki Mama. Tutakupataje ili uwaelimishe akina Mama wengine wengi?
ReplyDeleteJamani acheni kuwanyanyasa hao ma HG nao ni binadamu.
ReplyDeletesasa uyo mama apo juu wee sikilizia muziki wa mumewe,utakuta hashikiki haambiliki mwanaume ata umfanyieni atakutenda siku.ni wachache saaana wanaotulia na kuwaenzi wake zao
ReplyDeleteya nini?!!! wee bembeleza kiivo utakufa kibudu.
kazi ni kazi tu jamani HG ni kazi na atafanya kama sie tulivofanya zamani
watoto wanatia huruma tanzania. wazazi wao kutwa kwenye mabaa kula bia na kiti moto. wanakaa home na mahouse girl. congrats house gals. u doin a great job. uzinzi tu ndio umejaa bongo na ulevi. baba anarudi very late na kalewa na mama nae kachoka hana muda na family eti wanatafuta pesa. corrupted community.
ReplyDeleteMimi ninauhakika asilimia 101%,huyo Mama Anonymous 10:54:00 AM anaishi maisha ya raha na starehe na mume wake,hata kama mumewe anapitia baa anapotoka kazini,anaelewa kabisa anapita baa kaajili ya kuongea na wenzake kupata mawazo ya kimaendeleo ya familia badala ya kuwahi nyumbani wakati haujui hela ya kesho na kesho kutwa utapata wapi. Na mara nyingi sio kila siku anapitia baa. Anonymous 04:47:00PM na 12:20:00 AM, kwa kweli nyinyi ni hatari kabisa katika familia, nyinyi ndio mnaosababisha wanaume wanalala baa kwa kuwakimbia, maana nyumbani hakukaliki kwa maneno yenu na kununa kusikokuwa na sababu. Ushauri wangu kwenu, tendeni mambo mazuri kwa wenzenu bila kujali kuwa utarudishiwa jambo jema,hapo utashanga jinsi mwanaume atakavyobadilika na mtakavyotunza vizuri familia yenu.
ReplyDelete