ngómbe wanatoka malishoni kurejea nyumbani huku kwa mbaaaaaali kili inakonyeza...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Inamaana kuna ukame mbona wamedhoofika wanaonekana mifupa mitupu hawafai hata kwa nyama choma! masikini wee ndo maana inabidi watanzania wafundishwe ufugaji wa kisasa ng'ombe wachache wenye manufaa hata tukipatwa na ukame unaweza ukawatunza sio kundi kubwa lisilosaidia kiuchumi bali ni uharibifu wa mazingira.

    ReplyDelete
  2. HUU UKAME K'NJARO UNATISHIA KUONDOSHA KABISA SNOW KWENYE HUU MLIMA.ANGALIA MAHALA HAPO HAKUNA MITI KABISA KWA NINI HATUA ZA HARAKA ZISICHUKULIWE KUPANDA MITI KWA WINGI ILI KUZUIA UHARIBIFU WA MAZINGIRA NA KUHIFADHI MAANDHARI MAZURI YA MLIMA HUU AMBAO NI KIVUTIO KWA MAELFU YA WATALII.TANAPA MPO WAPI??

    ReplyDelete
  3. Duh!!
    Kaka, hebu naomba vi-settings vyako maana naona depth of field ilivyo ni mwanana. Siioni kuwa na ukunguukungu.
    Blessings

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...