baadaye leo, baada ya malkia wa urembo wa mwaka huu kuvikwa taji, kutakuwa na mnuso rasmi wa kusherehekea Miss TZ 2009 katika kiota kipya cha maraha cha RSVP (zamani Much More) upande wa pili wa Club Billicanas, ambapo utamuona mrembo huyo kwa karibu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. ASIKWAMBIE MTU BANTU FIGURE NDIO YENYEWE.

    ReplyDelete
  2. Kweli aliyosema Pinda ni kweli,watanzania tupunguze starehe,onyesho limekwisha ,mshindi kapatikana-inner party ya nini tena,mambo ya kizamani hayo -au hiyo pub niya auncle Lunde nini?
    mdau wa Lusungo Ipinda Kyela.

    ReplyDelete
  3. Hivi hamna shughuli nyingine ya muhimu ya kufanya?

    ReplyDelete
  4. inaonesha hata huyo mshindi mmeshampanga ahhhhaaaaa!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...