
Kwa habari kamili pamoja
na picha na video kibao...
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi acha uvivu ebu tuweke picha za usiku huu bwana aghh! (just kidding) thanks for the updates as always!
ReplyDeleteOK alivyo rembwa kwenye Miss TZ alitoka Bomba kiasi chake, ila najiuliza ni hii picha ndio ilitumika kushinda mIss fotojenik? maana hapa nisingemjua kama ndio yule kwa maana hapa yani yuko so natural kiasi sioni huo ufotojenik uko wapi.
ReplyDeleteWabongo tuna vigezo vyetu ambavyo ni tofauti kabisa. Huyu binti ana mwanya. Kwa Wazungu (ambako ndo atakwenda kushindana) mwanya ni DEVELOPMENTAL ABNOMALITY - siyo urembo km tunavyofikiri sisi. Tumekwisha shindwa hata kabla ya kushindana. Kalagabao....
ReplyDeleteMkali wa mwanya umemuona huyooooo!
ReplyDeleteMzee wa rahisi kupata Uaskofu wa .. kuliko cheti cha Bugando mpo hapo???
Miss Voda lazima atoke voda , miss Tanzanian lazima awe Mtz; habari ndiyo hiyo.
Dada wewe wahi chuoni hata hapo St. Augostine huko huko Buzuruga? Siku zinakuja utauza zaidi mbongo yako kuliko sura siku za usoni!
Are kidding?
ReplyDeleteJamani 20/20 channel 7 abc at 10pm Eastern time USA leo tarehe mbili wanaonyesha albino (Tanzania)....Kama ukiweza kuwaambia watu waangalie
ReplyDeletePlease, you must be kidding!!!!
ReplyDeletejamani naomba mtu anisaidie hapa,THIS IS MISS TANZANIA? REALLY yaani kweli......... mhhh ngoja nikabebe BOX nisije sutwa mieeeee
ReplyDeletenafaaa na kicheko mieee sasa huyu ndio anaenda kutuwakilisha miss world? jamani hivi naomba muniambie inakuwaje unapata kuwa miss tanzania tena?
ReplyDeletehivi kwanini tuna MISS TANZANIA kama tutazidi kufanya utumbo tuu ehheehehh
ReplyDelete???????????
ReplyDeleteHongera Miriam. Ila wapiga picha wa Miss Tz nao wamedata, wanafanya makelele tu kwenye hiyo clip ilotumwa na dailynews ... yaani hamna kusikilizana, kwanini hivyo?
ReplyDeleteShe works for voda, should we be worried abt her winning?
ReplyDeleteABCnews wameonyesha documentary ya mauaji ya ALBINO.......no offense but hamu ya mambo ya UMISS TANZANIZA imenitoka....HIZO PESA ZINAWEZA KUWASAIDIA HAWA NDUGU ZETU....MAANA HATA SUNSCREEN HAWANA ....
ReplyDeleteBro Michu, kwanini kila mwaka miss Redds Photogenic ndiye anakuwa mshindi wa miss TZ?? hapo au kanuni zako ni kwamba miss TZ ndio Miss photogenic???
ReplyDeleteWaukweli
ReplyDeleteNi mchaga nn? mzuri kama wanawake wa kichaga. anaithwa miriam gerald nani? anaonekana si mapepe kama WEMA SEPETU. namtakia maisha mema ktk ustaa wake. asibweteke.
ReplyDeleteHivi hao wanaochagua mamiss Tanzania wanaangalia vigezo gan?
ReplyDeletephotogenic? miss Tanzania? for real?
ReplyDeletegive us a better picture.............
otherwise we have been duped!
well naona mwanza warembo wakumwanga katika karne hii ya 22.mdau uk.
ReplyDeleteMichuzi,tulitabiri sawa kabisa, nadhani itabidi mwakani tuwe majaji, tulisema #019!!!
ReplyDeleteAh,,kwa warembo ambao nimeshawaona huyu nihatali,,yani kuanzia juu mpaka chini yuko swaaafi kabisa.Akicheka sasa ndio hatali,,,ana meno mazuuuuri,kweli unahitaji kuchaguliwa dada. Hongera sana kwakujinyakulia u miss.
ReplyDeleteShe deserves it, at least she doesn't have those revolting pakistani hair.
ReplyDeleteyerewii mmempendelea wa voda ehhh
ReplyDelete`WAUZA BONGA WANA HONGA PESA NDEFU!! ILI MTU ASHINDEE!! NA MWAKANI TENA TUNASHINDA!!
ReplyDeleteOYEEEEEEEEEEE!!!
Kwa mara ya kwanza mrembo aliyejibu swali kwa kiswahili amekuwa miss tanzania haya ni mageuzi makubwa.Mimi tangu kumi bora nilikuwa namfagilia pale alipojibu swali kwa kiswahili nikawaambia wenzangu tulio kuwa pamoja kwamba,kwa uzoefu wangu mtu akijibu kwa kiswahili tuu awezi kupata ushindi wa kwanza.Kiswahili oyee.....
ReplyDeleteby KK
I think she was an underground. Where is that mrembo with boobs.
ReplyDeleteContrats Miriam, u r the winner.
kiinglish kiligoma kabisa awa watoto miss Tanzania,yan waliboa kinomaaaa
ReplyDeleteivi lazima uongee lugha usioijua vizuri?mbona wakorea warusi wanaongea lugha zao na washinda mataji!!
ulimbukeni wa wapi huu!!
Hongera sana Miriam kwa kura zote ulizozipata kwenye Blog hii hata kabla ya kupigiwa kura za ushindi na Majaji jana usiku!
ReplyDeleteTunakutakia mafanikio meema katika utawala wako kama Malkia wa Urembo wa Tanzania!
Mungu Akubariki.
Mdau wa Dar.
Warushie Wadau hii Kitu Wacheke...Hapa Mrembo mmoja alikuwa anajaribu kufikisha ujumbe...Ilikuwa kituko ila ndo hivyo mzungu alielewa (message sent and delivered). Hiki kitu cha kweli jamani, imeandikwa na msomi hii
ReplyDeletehey .... i want to chart with you through sms or by
calling.i got you are text in da morning bt when i try
to reply is not send because you are sms is not show
da number n while i try to used da number u gave me is
not work out.plz plz don't foreget to buy me a lotion
n body spray both are called love spell,u know what
here in tanzani is more expensive than there i will
return are money.were are u going to stay before you
go to work to ....?i wish to see you berore u go to
sleep.have a nice day my friend
Wakuu,
ReplyDeleteKwa mujibu wa profile ya huyu malkia mpya Bi. Miriam ni mwajiriwa wa Vodacom.
Kwa mfanyakazi wa Vodacom kushiriki kwenye mashindano ambayo mdhamini mkuu ni Vodacom na kuondoka na Taji (au hata kama asingeshinda) hii imekaa vipi,sababu naona kama kuna kama kutakuwa na kahisia ka kainfluence fulani hapa au ni mimi sielewi.. nielimisheni hapa...
Binti ni mrembo kwa maana ya uzuri wa mwanamke, ila kwa vigezo vya umiss, mmh?!! naona asili yake ana nyama nyama sana, she is not skinny, pia ana tako la kiafrika kabisa. nadhani wanakazi ya kum slimisha kabla ya miss world, ila hayo mashavu na uso sijui kama vitapungua
ReplyDeleteHongera Mrembo ingawa mimi nakuona kama hujachangamka sana ....au yalikuwa Mapoziii...nimependa sura yako na muonekano wako Kila la kheri huko uendako
ReplyDeleteas far as i knw the girl works with voda, and voda is the main sponsor, A MAN CAN NOT BE A JUDGE ON HIS OWN CASE principle of natural justice,, u cant be fair is ur have interest on the case and ur the judge...on the other side the girl is fyn and lovely, u desrve it young lady,, take the bow....
ReplyDeleteKwanza nikiri kuwa mimi si mkereketwa sana wa fani hii. Lakini nimevutiwa na maoni ya anony wa okt 3 (3:19) "Binti ni mrembo kwa maana ya uzuri wa mwanamke, ila kwa vigezo vya umiss, mmh?!! naona asili yake ana nyama nyama sana, she is not skinny, pia ana tako la kiafrika kabisa. nadhani wanakazi ya kum slimisha kabla ya miss world, ila hayo mashavu na uso sijui kama vitapungua"
ReplyDeleteKatika dunia tandawazi, vigezo vya urembo vitawekwa na watandawazi na sio tena wazungu tu!! umeona kuwa miss world sio tena uwe anajua kuzungumza kiinglish tu. tutafika pahala ambapo sio lazima uwe na umbo skinny!!! alama za nyakati ndugu zangu. Tuanze kutoka ndani ya boksi!!
MWANZA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
ReplyDeleteMWANZA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
MWANZA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
MWANZA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
MWANZA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
MWANZA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
MWANZA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
MWANZA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
kama kajibu kwa kiswahili na wamempa ushindi basi ni jambo zuri sana na sasa unaanza kuona umuhimu wa lungha yetu,
ReplyDeletena hata akienda sijui China kushinda ajibu maswali kwa kiswahili aende tu na mtafsili.
na mtashaanga jinsi Kamati ya miss TZ mtakavyoweka historia ya ninyi kuwa wa kwanza kuwajulisha Dunia Kiswahili.
Geez...Mbona sioni uzuri wake? Or she was the best of the worse?? There is no way she can pass the first round in Miss universe or Miss world?
ReplyDeleteMwanza Oyeee!
ReplyDeleteIla kwakweli kulikua na warembo wengi , ila cha kushangaza hata ile top 5 ilikua nzuri ila na shanga mfano Mis Ilala alishindwa kujibu vizuri swali wakati kwenye Miss Ilala alijibu vizuri na nikasema huyu ndie mIss Tanzani , kweli nime kua dissapointed .
Halafu na dhani Miss Kinondoni hajaingia kabisa top 10 nilishangazwa
Hawa ma judge wengi walikua wanawake na wanaonyesha sura zao za kinoko , Hlafu sidhani kama wana chochote kujua kwenye masuala ya urembo , nadhani wamemchagua huyu kwa kukomoa warembo walio kuwepo kwenue Miss Tanzania,
Kitu kingine Majaji walikua wanoneysha reactions zo kabisa , haswa huyu Miss alip sema atajibu kw akiswahili, kuna juje moja kama vile alikua ana ngojea jibu hilo maan aalishangilia kabisa, sidhani wka juje ni vizuri kuonyesha hilo wazi wazi.
Next time kuwapa wadhamni wawe ma judge ni kosa nadhani maana wana weza fanya chohcote. na na dhani asilimia kubwa iwe wanaume, maana hawa wanawake huwa naoneana wivu , kudhani wamepewa attitude.
JAMANI HUYU NDIYE MISS TANZANIA KWELI!!!!!!!!!!!!! MBONA HANA TOFAUTI NA BEKI TATU WANGU ALIYESHUKA JANA KUTOKA NYANDA ZA JUU KUSINI,NI VIGEZO GANI VILIVYOTUMIKA HAPO???
ReplyDeleteiyo picha ya misho amekaa km mtoto alopotea vile
ReplyDeleteNaungana na wadau wawili hapo juu waliohoji Miriam kushiriki kwenye shindano la miss TZ wakati ni mfanyakazi wa main sponsor!! hivi siku hizi bongo hakuna masharti kuwa kwenye mashindano yoyote wafanyakazi wa main sponsors na familia zao hawaruhusiwi kushiriki?? kuna wakati mdogo wangu alitaka kushiriki mashindano ya miss TZ wakati huo sponsors walikua Tanzania Cigarette Company lakini ndugu yetu wa karibu alikuwa ni mfanyakazi wao kwahiyo hakuweza kushiriki. sasa hii ya Miriam imekaa vipi?? au siku hizi bongo tambarare hivyo kila kitu poa? ila hao mamiss walioshindwa si watafikiria kuwa Miriam kapendelewa kwavile anafanya kazi Vodacom? manake tuweni wakweli hakuwa bomba kuliko washiriki wengine kama vile lulu ibrahim au sylvia shally..nways,sipo bongo kwahiyo yawezekana nipo nyuma ya kalenda ila kaka Michuzi tunaomba mwenye kufahamu atutolee huu utata.
ReplyDeleteKalagabaho Watanzania kwa .......
ReplyDeleteamejibu kiswahili na ushindi amepata na kanumba pia awe anajibu kiswahili.
ReplyDeleteWABONGO JAMANI WANA WIVU SIJAPATA ONA, ACHENI WENZENU WATOKEE, MSHINDI SIKU ZOTE NI MMOJA MPENI SUPPORT MIRRIAM AKAFANYE VIZURI, KUFANYA KWAKE VIZURI NDIO SIFA YETU SOTE WATZ
ReplyDeleteMwanza oyee.
ReplyDeleteSina tatizo na miss Tanzania.
Jamani mimi nilikwenda Miss Talent, yaani hamuwezi kuamini mshindi wa talent eti ni dada aliyecheza TAARABU, ni aibu sanaa kwa nchi ya Tanzania kumpa mtoto aliyecheza matusi ya ajabu, akikata viuno kama malaya wa Uwanja wa Fisi, kushinda talent.
Kuna mtoto alifanya play jinsi wanawake wanavyokufa na matatizo ya FISITULA, jamani huyo binti alifanya play nzurii sana tena ni fundisho zuri kwa viongozi wetu. Na alikuwa amejiandaa na alijuwa anafanya nini.
Kweli imesikitisha sana kukosa miss talent na kupewa mcheza taarabu. Shame on YOU LUNDENGA na team yako.Jamani Lundenga achaeni UFISADI hata kwenye haya mambo mnafanya UFISADI.
Tunawakatisha wazazi wenye watoto wazuri kuwatoa kwenye mashindano kwani RUSHWA, UFISADI, NGONO vimezidi huko.
Jamani Miriam is ok.
ReplyDeleteIla mimi nimeshangaa sanaaaa kuona
msichana aliyecheza taarabu kuwa miss Talent, mimi nilikuwepo siku wanafanya hayo mashindano, hakuwa mshindi, alicheza matusi sana, na wala kucheza kukata viuno taarabu siyo TALENT. Kuna msichana alicheza alifanya play nzuri sana yenye ujumbe, jinsi wanawake vijijini wanavyokufa na FISITULA pamoja na watoto wanavyokufa. Ilikuwa ni ujumbe mzurii sana wa kutumia akili. Jamani matusi siyo talent ni ujinga na upuuzi.
UFISADI NA RUSHWA ZIPIGWE VITA KWENYE MAMBO KAMA HAYA.NI AIBU
Hakuna cha wivu wewe watu wanasema ukweli.
ReplyDeleteTUNAOMBA LUNDENGA ATOE MAELEZO, KWAMBA MIRIAM KUWA MWAJIRIWA WA VODACOM NA USHINDI WAKE HAVINA UHUSIANAO, KAMA ALIVYOTOA WAKATI WA RICHA ADHIA KUWA UHINDI WAKE NA USHINDI WAKE HAUKUWA NA UHUSIANO WOWOTE
ReplyDeleteNi sifuri!
ReplyDelete