Home
Unlabelled
mkwala mbuzi, dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
na wasiyajue hayo matatizo ni yapi maana wabongo wanaogopa sana kipapai kuliko sheria,hapo hatupi mtu
ReplyDelete...what is wrong with that? Is it not better than some MPs who, I am told, can't distinguish between the World Cup and the World Bank?
ReplyDelete...hang on a bit...could they be descendants of the members of that infamous delegation to the UK (years ago) who could not tell the difference between Manchester United and Machester University?
sidhani kama ni mkwara mbuzi manake inaonekana hakuna uchafu umetupwa zaidi ya majani na kifusi sijui cha cement but pako poa tuu kimkwara kimesaidia ati
ReplyDeleteHuo si mkwara ukitaka kujaribu we njoo utupe uchafu utakoma ubishi...Mama yetu anatoka Sumbawanga Baba yetu anatokea Bagamoyo...Fanya Fujo Uone!!
ReplyDeleteheheh mama yake katoka sumbawanga baba yake katoka bagamoyo babake wakufikia katoka tanga lol
ReplyDeleteKwa fujo pia yumo. Mjomba wake ni Mkurya Mryancholi....lol
ReplyDeleteANGALIENI UMAARUFU WA UCHIMBAJI DAWA ABIRI WAKIWA SAFARINI NCHINI TANZANIA KWENYE YOUTUBE, MBEYA TANZANIA.
ReplyDeleteHebu tuzungumze ukweli kidogo.
ReplyDeleteKwa kweli wabongo(wanaume) hako kamchezo kapo sana mpaka kanatia aibu. Nadhani kamekuwa ni utamaduni bila kujijua. Walikuja wageni wetu ofisini kutoka huko ulaya na mojawapo ya kitu walicho note ni wanaume kukojoa hovyo. Toka siku hiyo nikataka kujua ukweli wa mambo. Kwa kweli haswa Dar wanaume wanapenda kukojoa hovyo.
Ni aibu. Tutafute sehemu zinazostahili.
Kuchimba dawa ndio aibu kabisaaaaa. Basi linapita hotels kibao njiani mnaenda porini kuchimba dawa. Haiingii akilini.
K.O.R.
Ha ha haaa! hio kitu ipo karibu na splash town
ReplyDelete