Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. na wasiyajue hayo matatizo ni yapi maana wabongo wanaogopa sana kipapai kuliko sheria,hapo hatupi mtu

    ReplyDelete
  2. ...what is wrong with that? Is it not better than some MPs who, I am told, can't distinguish between the World Cup and the World Bank?

    ...hang on a bit...could they be descendants of the members of that infamous delegation to the UK (years ago) who could not tell the difference between Manchester United and Machester University?

    ReplyDelete
  3. sidhani kama ni mkwara mbuzi manake inaonekana hakuna uchafu umetupwa zaidi ya majani na kifusi sijui cha cement but pako poa tuu kimkwara kimesaidia ati

    ReplyDelete
  4. Huo si mkwara ukitaka kujaribu we njoo utupe uchafu utakoma ubishi...Mama yetu anatoka Sumbawanga Baba yetu anatokea Bagamoyo...Fanya Fujo Uone!!

    ReplyDelete
  5. heheh mama yake katoka sumbawanga baba yake katoka bagamoyo babake wakufikia katoka tanga lol

    ReplyDelete
  6. Kwa fujo pia yumo. Mjomba wake ni Mkurya Mryancholi....lol

    ReplyDelete
  7. ANGALIENI UMAARUFU WA UCHIMBAJI DAWA ABIRI WAKIWA SAFARINI NCHINI TANZANIA KWENYE YOUTUBE, MBEYA TANZANIA.

    ReplyDelete
  8. Hebu tuzungumze ukweli kidogo.

    Kwa kweli wabongo(wanaume) hako kamchezo kapo sana mpaka kanatia aibu. Nadhani kamekuwa ni utamaduni bila kujijua. Walikuja wageni wetu ofisini kutoka huko ulaya na mojawapo ya kitu walicho note ni wanaume kukojoa hovyo. Toka siku hiyo nikataka kujua ukweli wa mambo. Kwa kweli haswa Dar wanaume wanapenda kukojoa hovyo.

    Ni aibu. Tutafute sehemu zinazostahili.

    Kuchimba dawa ndio aibu kabisaaaaa. Basi linapita hotels kibao njiani mnaenda porini kuchimba dawa. Haiingii akilini.

    K.O.R.

    ReplyDelete
  9. Ha ha haaa! hio kitu ipo karibu na splash town

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...