ukipita hapa mchana huwezi amini kwamba jua likizama tu panakuwa hai kuliko sehemu nyingi za a-taun. wadau wenye data zaidi tunaomba msaada kwenye tuta

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Mchemsho bado ni babuuu kubwa Mnama ?
    Vyungu 14 bado vipo.

    ReplyDelete
  2. Hiyo ndo JOLLY CLUB ya Arusha.. Totoz za kutolea baridi zinapatikana hapo usiku na mchana... ila wengi wao huvaa ndala, so that mandhali zao si zile zenye manukato tuzitakazo.

    ..Kumbe Michuzi nawe pia ulienda hapo "kuliwazwa"

    ReplyDelete
  3. Hii imenikumbusha siku nyingi....Nafikiri nakumbuka mahala hapa..Si ni karibu na Triple A?

    ReplyDelete
  4. wana Trupa iliyokwenda shule... atleast miaka 5 iliyopita, wadau, je bado trupa lao bomba???

    ReplyDelete
  5. Kaka hapo naona unaingilia anga za watu. Ila kwa sasa biashara imedoda maana wateja wakuu ni vijana wa machimbo mererani maarufu kama nyoka ambao huko biashara ya madini imekuwa ya kusua sua. Nakumbuka one day nilikuwa safarini A-Town nikampigia rafiki yangu wa huko kwamba niko hapo mrina napata povu akaniambia kwa kuninong'oneza kuwa nisimwambie mtu kwamba niko hapo mrina. Nafikiri mnanipata ninachomaanisha. Na mbele yake kidogo iko picnic yaani huo mtaa mzima nyuma ya Golden Rose unatisha usiku kwa machangu usiombe. Halafu alfajiri kuna vibaka pia. Kaka yangu ndiyo hayo kwa leo na huu ni ukweli nilishuhudia mwenyewe wala sio wa kuambiwa. Serikali ya huo mtaa imelala inakusanya tu kodi bila kuangalia inatoka mfuko gani jamani UKIMWI utatumaliza kama hii biasharainakuwa huria kiasi hiki

    ReplyDelete
  6. Hapo ni kiota cha ufuska masaa 24. muda wowote unapata nanihii. hela yako tu. mnaenda kumalizana. ni vyema serikali ya arusha wakaitazama Bar hii.MACHANGU WANAFANYA UMALAYA ULIOKITHIRI.

    ReplyDelete
  7. Kunapatikana kila aina ya uhuni hapo ni sehemu ya wahuni wa ngarenaro na unga limited kukutana.Hamna mtu na heshima zake anaenda hapo!

    ReplyDelete
  8. Hapo hata 500/= unapta nanihii!
    kil mtu anajua uppui unaofanyika hapo! yaani ni kanchi kadogo kanakojitegemea

    ReplyDelete
  9. hapo kuna wataalam wa massage za nyeti ambao wengi wao ni sunguratope wachafuchafu ni kama buguruni kimboka bar kulivyojaa sunguratope(malaya wachafu)ndo sawasawa na hapo mrina ila mtaa wa mbele kuna hotel ya heshima ya golden rose ambayo ipo jirani na ofisi za mabasi ya kilimanjaro

    ReplyDelete
  10. Kwa mpenda ufuska hapo panamfaa sana angalia hata mandhari na mazingira yake yalivyokaakaa, lakini kwa asiyependa ufuska hapo hapamfai!

    ReplyDelete
  11. Hapo ni sehemu ya kujichukulia au kuambukizia ukimwi. Na kweli mtu na heshima zako sio mahali pa kwenda ni machangu wamejazana kila kona wa bei rahisi. Tujihadhari na ukimwi.

    ReplyDelete
  12. Anko mathupu wewe ni mchokozi ulijua kabisa nini kinaendelea katika dangulo hilo ila umetaka kuwakumbusha watu mbali. Ninaikumbuka hiyo sehemu miaka mingi iliyopita kwani nilikuwa na kijiwe hapo, nyoka wakija kutoka mbuguni(mererani) walikuwa wananiletea mawe machafu waliyosunda nikawauzie kisha ninawaletea mshiko wao. Nilizitengeneza enzi hizo! Ila ilikuwa sijui kama kijiwe hicho kinaendelea, umenikumbusha mbali sana. Hapo ni karibu na ofisi maarufu ya kina Chonjo wezi maarufu wa magari.
    Mdau USA

    ReplyDelete
  13. Kutokuenda hapo siyo dawa ya kutoambukizwa ukimwi. Unaweza hata usiende popote na bado mwenzako akakuletea huo Ukimwi nyumbani.

    Dawa ni kuwa muangalifu katika hali zote, pima mara kwa mara na kubwa kuliko vyote; acha kufuata maneno ya watu - kinga unayo mwenyewe

    ReplyDelete
  14. counter wa hapo an kama miaka kumi baa hiyo hiyo, hasahau bili hata kaunter wakisimama wateja 20

    ReplyDelete
  15. Michuzi,mtu na heshima zake hawezi kwenda hii sehemu hata siku moja.Kwanza ni vumbi tupu huu mtaa.Kuanzia hapa stendi mpaka kule chini kwenye gesti ya monjesi ya kigorofa kile.Na usiku hapo ni balaa tupu,malaya wachafu kibaoooo!!

    MDAU-UGHAIBUNI

    ReplyDelete
  16. DUH!EMBANAAA MMENIKUMBUSHAA MBALII SANAAA,PANDE IZOO OGOPA,POVU,VICHECHE VYA KUMWANGAA,IKIWAA NA BUK MBILII ONANGOA FASTER, KULIAA KUNA SEVAZI..NAKO NOMAA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...