hallo brother michuzi
mimi ni mtanzania, nipo hapa marekani, kwa kusoma, kwa muda kidogo, ningakuwa happy kama ningepata mtanzania anayeishi Indiana.
Mie nipo Indiana, mji unaoitwa West Lafayette, chuoni (PURDUE UNIVERSITY), ningefurahi kama kuna watanzania walio Indiana, wawasiliane na mimi through my email address,
saria1974@gmail.com.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hujambo? mimi nipo indiana pia.. vipi wewe umeolewa lakini au bado upo upo kwanza? nimekutumia email naona hakuna jibu... email yangu ni kengetz@gmail.com

    ReplyDelete
  2. Watanzania wengi wapo Mishawaka na indianapolis

    ReplyDelete
  3. sasa akiwa mwanaume atakuwaje ameolewa? au ameonyesha jinsia yake? kama hivyo samahani

    ReplyDelete
  4. achana na watanzania juwa lako, fanya mambo yako ukimaliza rudi nyumbani. Watanzania agani!?!?

    ReplyDelete
  5. The GrandPMCOctober 05, 2009

    Namuunga mkono Anonymous alosema wapige chini hao watz unaowatafuta,very wise advise kwa kuwa majority wana full Phd(Pull,him/her,Down)

    ReplyDelete
  6. jali elimu yako achana na watanzania marekani wanafiki sana kama unaupenda poa watafute ila nakushauri kwanza kaa nao mbali soma kwanza

    ReplyDelete
  7. Wivu tuuuuu huo ati watanzania marekani wanafiki. Sijui nini na nini? Wote hao mnaosema hivyo mko wapi nyie? Marekani mnaisikia tu kusoma kwenye mablog...Mnazania watu wana mda mchafu kama nyie? Bahati mbaya siko India ningekutafuta lakini ukitaka mwenyeji NYC sema mimi nitakupa contact zangu siku ukiamua kuja huku nikupokee.

    ReplyDelete
  8. Eti unatafuta wa Tz wa hapa Indiana? Mambo ya kama kule nyumbani hapa hakuna jitahidi kufanya kilichokuleta la sivyo kalaghabao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...