The U.S President Barack Obama (pictured) is the 2009 Nobel Peace Prize winner for "his extraordinary efforts to strengthen international diplomacy and cooperation between peoples."
He has got this Prize for giving the world citizens a hope for the better future. Obama was elected as the first African-American president of the United States of America in November 2008.
The Norwegian Nobel Committee said it attached special importance to Obama's vision of and work for a world without nuclear weapons."Obama has as president created a new climate in international politics. Multilateral diplomacy has regained a central position, with emphasis on the role that the United Nations and other international institutions can play," the committee said on its website.
"Only very rarely has a person, to the same extent as Obama, captured the world's attention and given its people hope for a better future. His diplomacy is founded in the concept that those who are to lead the world must do so on the basis of values and attitudes that are shared by the majority of the world's population," the committee said.
There were a record 205 nominations for the 2009 peace prize, of which 33 were organizations.
Last year, former Finnish President Martti Ahtisaari won the peace prize for his mediation efforts. The peace prize was the fifth of this year's Nobel awards, which are also made for medicine, physics, chemistry and literature.
The prizes were endowed by Swedish industrialist Alfred Nobel, the inventor of dynamite.The Nobel Peace Prize - worth 10 million kronor ($1.4 million dollars) - is scheduled to be presented in Oslo Dec 10.
thts ma black president..yep yep!
ReplyDeletewamempa hiyo zawadi nasikia fununu ni kwa sababu kanyimwa olympic wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa
ReplyDeleteHii zawadi haina maana sasa. Kikwete amefanya mengi zaidi kimataifa kuliko Obama. Angalia juzi tu na umaskini wetu tumetoa msaada Zimbabwe. Vurugu za Kenya alisuluhisha yeye.
ReplyDeleteZawadi ya maana kwa sasa ni ya Mo Ibrahim!
Ki-ukweli hakuna raisi duniani ambaye amewahi kuwa kama huyu. Kutafuta amani ya kweli bila kujali hisia za kidini.
ReplyDeleteWengi wanaodai hawatumii maoni ya dini zao kufanya maamuzi ya kikazi na mahusiano ya kijamii, ukifuatilia zaidi unakuta ni waongo. Wasema "dini kwanza" watu baadaye.
Ila huyu jamaa ni mkweli.
Anonymous wa Fri Oct 09, 06:59:00 PM kama ulifuatilia kampeni kuna kipindi Wamarekani walisema jamaa ni Mwislamu. Aliufahamisha umma kwamba yeye aliamua kuwa Mkristo lakini hakuna sehemu hata moja aliyosema kwamba suala la yeye kuwa Mwislamu halipaswi kuwa kikwazo kwake kuwa kiongozi. Ni mapema mno kumpa sifa zote hizi. Juzi juzi kawachimba mkwara Iran. Kitakuwa kichekesho kama akianza kutwanga mataifa mengine huku katoka kupewa tuzo ya amani.
ReplyDeleteNafikiri ni mapema saaana kumpa hio zawadi. Nafikiri wangesubiri mpaka 2011 hivi. Hizi Nobeli za siku hizi naona zinapoteza muelekeo,mweh!
ReplyDeleteWewe unayejiita Ucheche sijui Kicheche. Naomba ufafanuzi kamili wa fununu yako.
ReplyDeleteKuna uhusiano gani kati Nobel Peace prize and Olympic?, Je ipi branch ya ipi?, ni sawa na kufananisha mtu kuwa discontinued Mlimamni halafu anakuwa awarded Miss U-Tanzania, Je kamati ya Miss Tanzania na Senate ya Mlimani vina uhusiano gani?
Mwacheni Obama anastahili tuzo hiyo kaibadili Marekani, Watu wengi walikuwa wana-i hate marekani baada ya yeye kuwa raisi sasa hivi wanaipenda
barack obama anastahili tuzo hiyo kwa 100%
ReplyDeletenafikiri baraka obama wamempendelea hii tuzo alikuwa anastahili raisi wa iran ahmednijadin au rais wa libya muhamad gadafi kwani hawa wanajitahidi kufanya dunia kuwa mahali pa amani
ReplyDeleteau wangempa rais hugo salves wa venezuela
ReplyDeleteMSIANZE KUPAYUKA TU FANYENI UTAFITI KWANZA, HIZI TUZO HUTOLEWA KATIKA CATEGORIES SITA, LAKINI TANO NDO HASWA MUHUMI ZINAZOFUNDIWA NA ALFRED NOBEL MWENYEWE YA SITA HUFANDIWA NA SWEDISH BANK LAKINI IPO KWENYE MFUKO HUU HUU, MASHARITI WALA HAYASEMI MTU ANAPASHWA AFANYE IKO KITU KWA MIAKA MINGAPI ILI APEWE TUZO HIZO, UNAWEZA UKAFROOK HATA KWA SIKU MOJA TU UKAPEWA TUZO, NA MAKUNDI HAYO NI HAYA HAPA CHINI
ReplyDelete1. PYSIOLOGY AND MEDICINE
2. CHEMISTRY
3. PEACE
4. PHYSICS
5. LITARATURE
NA
6. ECONOMICS SCIENCE, ambayo
inafundiwa na Swedish Bank
UKIONDOA YA PEACE TU ZOTE ZINGINE ZIKO BASED SWEDEN, A COUNTRY OF CITIZENSHIP YA AFRED NOBEL NA YA KUZALIWA PIA YA PEACE IKO BASED NORWAY NA INA KUWA MANAGED NA KAMATI YA WATU WATANO WANORWAY. HAPA CHINI SOMA KIDOGO HAPARI ZA HUYU ALFRED NOBEL, ALIKUWA ANAWEZA KUONGEA LUGHA SITA, NA HAKUWA MSOMI WA MADEGREE, HAYO YOTE ALIYOFUNDISHWA ILIKUWA NONE ACADEMIC.
KIMPANGO WAKE, SISI INATUHUSU NA NINI? TUKAE TUJADILI YETU YANAYOTUHUSU.
ReplyDeletew 06:18:00 AM alokwambia alfred nobel hakuwa msomi wa degree nani? alikua engeneer, chemist, n ye ni moja kati ya wavumbuaj wa bomu, n kitu wanachomsifia wazungu japokua alivumbua mabomu lakn alianzisha zawadi hizi n wanasema alkua mtu wa amani.
anyway, kwa mtazamo wangu naona bora karume apewe hii, hamkeri mtu maskini ya mungu
if that is the case,the most qualified person to be awarded is george w.bush.former US president.cause it means nothing
ReplyDeletePersonally, nafikiri tuzo hiyo obama amependelewa tu kwasababu ana miezi tisa tu ofisini! na bado kuna matatizo mengi yako pending, hawawezi kumpa tuzo mtu kwasabu eti ameleta hope, hiyo hope angeleta kwa ku-sole matatizo mengi ambayo bado hajaya-assess ingekuwa bora zaidi, ni kweli kkwamba ana mipango mingi but wangesubiri hadi angetekeleza ndo wangempa...manake kwa kweli wamebugi step kwa kumpa hiyo tuzo sasa hivi...haileti maana
ReplyDelete