Home
Unlabelled
RAHA YA MKE BAUNSA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
tatizo ndume ilikuwa imelewa, ila ashukuru, kuokolewa la sivyo ingekuwa habari nyingine.
ReplyDeleteMbavu sina kuanzia 1:30 maana kipondo kimemchanganya jamaa kikaanza kuruka ruka kianza kurudisha mashambulizi lakini ikawa ndio kachokoza nyuki,nafikiri kajamaa kamelewa maana sekunde ya tatu karirusha konde kali sana lakini baada ya hapo mama kampa kisago mpaka jamaa kaja kumwokoa..hao ndio kina shaniqwa usicheze nao...fight back fight back mut%%h5ker
ReplyDeletehii kali mzee wa libeneke lkn inaoonekana mshikaji yuko chicha mbaya maana anarusha ngumi na anawewesuka lkn 1:36 nasikia jamaa anoongea kiswahili,anasema hayo majungu mzee ni kweli?
ReplyDeletePoor kids who looking what they are parents are doing? that is very unhealth to them. May God Bless those kids.
ReplyDeleteSafi sana,maana wanaume mmezidi
ReplyDeleteduh...mi ningekuwa mshikajii, ninge kimbia kuliko kuzalilika ivyoo,
ReplyDeletekwakweli this is so sexy, thanks bro michuzi hapo.. i am falling in love again.
ReplyDeleteohh Resputitia i love you!?
tartiiiibu..
= = =
Buffalo, (hapo anapopigwa huyo jamaa)
New York
shenzi, kama asingeamuliwa anguawa, anajifanya kwa kuwa mwanaume hawezi kupigwa na mwanamke, si ukubali tuu kuwa wako wanaume wanoweza pigwa na wanawake..hehehe:P
ReplyDeleteMichuzi u made my day bro, keep it up!
Hilo ni timbwi timbwi la Asha Ngedere!
ReplyDeletemithupu huyo ni mama yake,sio mke wake,na ni moja ya mageto ya mrekani,huko heshim zero.mtoto achelewi kumcharaaza mama mzazi,discovery channel wanazionesha sana hizi.
ReplyDeleteRaha ua mtihani huo??? Ingekuwa raha kama angekuwa anamsaidia mwanaume kupigana na wezi au wabaya wake lakini huyo anamdunda mumewe nomaaa!
ReplyDeleteDuh balaa hili, mwanamke wa namna hii hata sioi sababu yeye atanifanya mimi ndio mwanamke na yeye atakuwa ndio mwanaume ndani.
ReplyDeleteDuh!Raha kweli kweliamepata kiboko yake. Cheki anavyoburuzwa. Tatizo wanaume wanajidaiaga sana kupiga piga wanawake. Natamani kama wote tungekuwa hivyo. Pia natamani kama ningekuwa Refa wao.
ReplyDeleteTatizo la kijianaume kidogo dogo kukimbilia kuoa bonge la mdada matokeo yake hayo...hata kama ubausa hana ila huo mwili akikuangushia ngumi tuu mwenyewe unasurrender. Hataaari....Imetulia
ReplyDeleteJamaa alikua tungi bwana.... Halafu ni kama USA vile...Au jamaa teja nn?... Dooh ila huyo dada simchezoooo...Nimafuta tupu! Asante Moproco.
ReplyDeletehiyo safi sana!!! Hasa kwa wale wanaume wanaopenda kunyanyasa wake zao. Mi nilikuwa na mpango wa kuendelea kuwa kiportable, ila naona kuna umuhimu wa kuwa baunsa!!!
ReplyDeleteHiyo ikinitokea na mtaa nitahama
ReplyDeleteDUUH..YAANI SIAMNI NA POLICE WAMEPITA HATA KUAMULIA...DUHH THAT'S MUST BE THE REALLY HOOD...
ReplyDeleteMIMI MUME WANGU ALIKUA ANANIPIGA SANAAAA KIASI CHA KUTAKA KUNITOA ROHO.MIMI NIMEKULIA BUSHI AMBAKO NILIKUA NAFANFA KAZI NGUMU SASA SIKU MOJA NIKASEMA HIVI NIKIJIKAKAMUA SIWEZI KUJIBU MASHAMBULIZI?BASI SIKI YA SIKU AKARUSHA KONDE NIKAHEPA KISHA NIKARUDI NYUMA NAKUKUNJA NGUMI KIBONDIAA,AKACHEKA KARIBU YA KUJIKOJOLEA AKASEMA"EEEH LEO UNATAKA KUPIGANA NAMIMI SIO"NIKAMWAMBIA "SIO KUPIGANA BALI LEO NITAKUCHARAZA NGUMI HADI UMUITE MAMA YAKO,NA LEO NDIO MWISHO WA WEWE KUNIPIGA"AKACHEKA TENA KISHA AKARUSHA KIBAO NIKAKIDAKA KWA MKONO MMOJA WA KUSHOTO NA KWA MKONO WA KULIA NIKAMTWANGA NGUMI YA YA TUMBONI KWA NGUVU ZANGU ZOTE.AKADONDOKEA KOCHINI HUKU AMESHIKA TUMBO NIKAINGIWA HURUMA LKN ALIVYONYANYUKA NIKAJUA ATANIUA MAANA NILIMUONA SHETANI MACHONI MWAKE,KWA KWELI SIJUI NILIPATA WAPI NGUVU MAANA ALIRUSHA NGUMI MOJA NIKAIKWEPA LKN INGENIPATA NAZANI INGETOA MENO YOTE KISHA NIKAMSHITUA KAMA NAMPIGA KIBAO KWA MKONO WA KUSHOTO ALIVYOKWEPA NIKAMPIGA NGUMI 3 MFULULIZO KWA NGUVU ZANGU ZOTE AKAPEPESUKA KISHA NIKAMRUKIA TUKAANGUKA KOCHINI NIKAMKABA SHINGONI HADI NILIPOHISI ANAKUFA NIKAMUACHA.TOKEA SIKU HIYO HANIPIGI TENA ETI SIKU HIZI ANAJIDAI KUSEMA"SIKUPIGI TENA MAANA SIKU NIKIKUPIGA NAWEZA KUKUUA"
ReplyDeleteThe Undertaker kaa chonjo.
ReplyDeleteMichuzi do something huku mimi sioni picha
ReplyDeleteUmeelimisha nini jamii hapa kaka Michuzi.Violence is the way to solve problem.....Mmhhh.Na kuna mijinga mingine mingi inafurahia na kuandika comment za kijinga.Huyo mwanamke anapigana na mlevi na kosa moja tu anaweza kumuua huyo jamaa kama kichwa kikigonga chini kwenye sakafu.Tanzania na jinsi ya kuelimishana ni tattizo kubwa.
ReplyDeleteJapo angeandika maelezo kukemea hilo swala ningekuelewa kaka michuzi.
Mjusi
mjusi anon oct 1,07:25 hujui burudani maana yake nini,pia hapo hapo elimu inajidhihirisha.hii kwanza ni unusual kwa jamii ya Tanzania,pili,athali za ulevi,tatu,domestic violence,nne,polisi na vyombo vya dola vikiwa karibu kugundua crime-reaction za watu vipi,tano,hao watoto wanaangalia na kucheka itawafanya wakue kivipi maana wako katika neighbourhood ya violence.
ReplyDeletetherefore mjusi,usimlaumu michuzi kuweka hii podcast kwani tunao observe mambo,tumeburudika.
inaeleke jamaa kafurahi kimoyomoyo alipo okolewa na na mshaji.ningekuwa mimi ningeporea kimtindo kabla ajazirusha ngumi.
Wakati wa wanaume kunyanyasa wanawake umeanza kuishia taratibu. Tunaona wanawake wakifanya kazi kwa bidii na kujitegemea, badala ya kutegemea wanaume ambao wengi wameshindwa kutunza familia zao. Vilevile mambo ya wanawake kupigwa na waume zao yataisha tu. Inshalah
ReplyDeleteDAWA YAKE WAKIPATANA TU NI KITANDANI TU MPIGE MAGOLI TISA KILA SIKU HATA AKIMBIE KWAO
ReplyDelete