Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. tatizo ndume ilikuwa imelewa, ila ashukuru, kuokolewa la sivyo ingekuwa habari nyingine.

    ReplyDelete
  2. Mbavu sina kuanzia 1:30 maana kipondo kimemchanganya jamaa kikaanza kuruka ruka kianza kurudisha mashambulizi lakini ikawa ndio kachokoza nyuki,nafikiri kajamaa kamelewa maana sekunde ya tatu karirusha konde kali sana lakini baada ya hapo mama kampa kisago mpaka jamaa kaja kumwokoa..hao ndio kina shaniqwa usicheze nao...fight back fight back mut%%h5ker

    ReplyDelete
  3. hii kali mzee wa libeneke lkn inaoonekana mshikaji yuko chicha mbaya maana anarusha ngumi na anawewesuka lkn 1:36 nasikia jamaa anoongea kiswahili,anasema hayo majungu mzee ni kweli?

    ReplyDelete
  4. Poor kids who looking what they are parents are doing? that is very unhealth to them. May God Bless those kids.

    ReplyDelete
  5. Safi sana,maana wanaume mmezidi

    ReplyDelete
  6. duh...mi ningekuwa mshikajii, ninge kimbia kuliko kuzalilika ivyoo,

    ReplyDelete
  7. Nshimimana aka DumisaneOctober 01, 2009

    kwakweli this is so sexy, thanks bro michuzi hapo.. i am falling in love again.

    ohh Resputitia i love you!?

    tartiiiibu..

    = = =
    Buffalo, (hapo anapopigwa huyo jamaa)
    New York

    ReplyDelete
  8. shenzi, kama asingeamuliwa anguawa, anajifanya kwa kuwa mwanaume hawezi kupigwa na mwanamke, si ukubali tuu kuwa wako wanaume wanoweza pigwa na wanawake..hehehe:P
    Michuzi u made my day bro, keep it up!

    ReplyDelete
  9. Hilo ni timbwi timbwi la Asha Ngedere!

    ReplyDelete
  10. mithupu huyo ni mama yake,sio mke wake,na ni moja ya mageto ya mrekani,huko heshim zero.mtoto achelewi kumcharaaza mama mzazi,discovery channel wanazionesha sana hizi.

    ReplyDelete
  11. Raha ua mtihani huo??? Ingekuwa raha kama angekuwa anamsaidia mwanaume kupigana na wezi au wabaya wake lakini huyo anamdunda mumewe nomaaa!

    ReplyDelete
  12. Duh balaa hili, mwanamke wa namna hii hata sioi sababu yeye atanifanya mimi ndio mwanamke na yeye atakuwa ndio mwanaume ndani.

    ReplyDelete
  13. Duh!Raha kweli kweliamepata kiboko yake. Cheki anavyoburuzwa. Tatizo wanaume wanajidaiaga sana kupiga piga wanawake. Natamani kama wote tungekuwa hivyo. Pia natamani kama ningekuwa Refa wao.

    ReplyDelete
  14. Tatizo la kijianaume kidogo dogo kukimbilia kuoa bonge la mdada matokeo yake hayo...hata kama ubausa hana ila huo mwili akikuangushia ngumi tuu mwenyewe unasurrender. Hataaari....Imetulia

    ReplyDelete
  15. Jamaa alikua tungi bwana.... Halafu ni kama USA vile...Au jamaa teja nn?... Dooh ila huyo dada simchezoooo...Nimafuta tupu! Asante Moproco.

    ReplyDelete
  16. hiyo safi sana!!! Hasa kwa wale wanaume wanaopenda kunyanyasa wake zao. Mi nilikuwa na mpango wa kuendelea kuwa kiportable, ila naona kuna umuhimu wa kuwa baunsa!!!

    ReplyDelete
  17. Hiyo ikinitokea na mtaa nitahama

    ReplyDelete
  18. DUUH..YAANI SIAMNI NA POLICE WAMEPITA HATA KUAMULIA...DUHH THAT'S MUST BE THE REALLY HOOD...

    ReplyDelete
  19. MIMI MUME WANGU ALIKUA ANANIPIGA SANAAAA KIASI CHA KUTAKA KUNITOA ROHO.MIMI NIMEKULIA BUSHI AMBAKO NILIKUA NAFANFA KAZI NGUMU SASA SIKU MOJA NIKASEMA HIVI NIKIJIKAKAMUA SIWEZI KUJIBU MASHAMBULIZI?BASI SIKI YA SIKU AKARUSHA KONDE NIKAHEPA KISHA NIKARUDI NYUMA NAKUKUNJA NGUMI KIBONDIAA,AKACHEKA KARIBU YA KUJIKOJOLEA AKASEMA"EEEH LEO UNATAKA KUPIGANA NAMIMI SIO"NIKAMWAMBIA "SIO KUPIGANA BALI LEO NITAKUCHARAZA NGUMI HADI UMUITE MAMA YAKO,NA LEO NDIO MWISHO WA WEWE KUNIPIGA"AKACHEKA TENA KISHA AKARUSHA KIBAO NIKAKIDAKA KWA MKONO MMOJA WA KUSHOTO NA KWA MKONO WA KULIA NIKAMTWANGA NGUMI YA YA TUMBONI KWA NGUVU ZANGU ZOTE.AKADONDOKEA KOCHINI HUKU AMESHIKA TUMBO NIKAINGIWA HURUMA LKN ALIVYONYANYUKA NIKAJUA ATANIUA MAANA NILIMUONA SHETANI MACHONI MWAKE,KWA KWELI SIJUI NILIPATA WAPI NGUVU MAANA ALIRUSHA NGUMI MOJA NIKAIKWEPA LKN INGENIPATA NAZANI INGETOA MENO YOTE KISHA NIKAMSHITUA KAMA NAMPIGA KIBAO KWA MKONO WA KUSHOTO ALIVYOKWEPA NIKAMPIGA NGUMI 3 MFULULIZO KWA NGUVU ZANGU ZOTE AKAPEPESUKA KISHA NIKAMRUKIA TUKAANGUKA KOCHINI NIKAMKABA SHINGONI HADI NILIPOHISI ANAKUFA NIKAMUACHA.TOKEA SIKU HIYO HANIPIGI TENA ETI SIKU HIZI ANAJIDAI KUSEMA"SIKUPIGI TENA MAANA SIKU NIKIKUPIGA NAWEZA KUKUUA"

    ReplyDelete
  20. The Undertaker kaa chonjo.

    ReplyDelete
  21. Michuzi do something huku mimi sioni picha

    ReplyDelete
  22. Umeelimisha nini jamii hapa kaka Michuzi.Violence is the way to solve problem.....Mmhhh.Na kuna mijinga mingine mingi inafurahia na kuandika comment za kijinga.Huyo mwanamke anapigana na mlevi na kosa moja tu anaweza kumuua huyo jamaa kama kichwa kikigonga chini kwenye sakafu.Tanzania na jinsi ya kuelimishana ni tattizo kubwa.
    Japo angeandika maelezo kukemea hilo swala ningekuelewa kaka michuzi.

    Mjusi

    ReplyDelete
  23. mjusi anon oct 1,07:25 hujui burudani maana yake nini,pia hapo hapo elimu inajidhihirisha.hii kwanza ni unusual kwa jamii ya Tanzania,pili,athali za ulevi,tatu,domestic violence,nne,polisi na vyombo vya dola vikiwa karibu kugundua crime-reaction za watu vipi,tano,hao watoto wanaangalia na kucheka itawafanya wakue kivipi maana wako katika neighbourhood ya violence.
    therefore mjusi,usimlaumu michuzi kuweka hii podcast kwani tunao observe mambo,tumeburudika.
    inaeleke jamaa kafurahi kimoyomoyo alipo okolewa na na mshaji.ningekuwa mimi ningeporea kimtindo kabla ajazirusha ngumi.

    ReplyDelete
  24. Wakati wa wanaume kunyanyasa wanawake umeanza kuishia taratibu. Tunaona wanawake wakifanya kazi kwa bidii na kujitegemea, badala ya kutegemea wanaume ambao wengi wameshindwa kutunza familia zao. Vilevile mambo ya wanawake kupigwa na waume zao yataisha tu. Inshalah

    ReplyDelete
  25. DAWA YAKE WAKIPATANA TU NI KITANDANI TU MPIGE MAGOLI TISA KILA SIKU HATA AKIMBIE KWAO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...