

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii, hoteli inafanana na Apartments za kuishi watu kwa wenzetu waliokaa nje hasa USA.
ReplyDeleteHakuna jipya hapo
unasema mandhari ya mbele wakati umepiga katikati,ni hiyo hapo juu picha ya hiyo..... yenye maelezo hapo juu.
ReplyDeleteNaona bwawa la maini wakati lina rangi ya blue kama Chelsea.
Mimi nimekaa USA for more than ten years sijaona apartment za ivo na space za kumwaga,au wewe ni US ipi hiyo unazungumzia. watu bwana, kila kitu US! hujui US kuna mitaa ina panya ndani kama vijijini tu! au unajiona ndio umefika sana. Ushamba unakusumbua, kama kitu ni kizuri tukisifie, hata kama kinalingana na apt za US, hizo ni US kwa tz tunaona wamejitahidi, acha kukatisha watu tamaa wewe.
ReplyDeleteSwal ndugu sio kufanana na apartments issue hapa ni huduma na mazingira mazuri ya kupumzika. Kufafanana na apartments sio tija kabisa ni hoteli nzuri inavyoonekana kwenye picha na bei zake zipo reasonable sio mbaya kufananisha na Kempinski serengeti. Ipo ya kishikaji na angalau watanzania wanamudu kwa hela ya mshahara wako wa kawaida.
ReplyDeleteNaifagilia kwani nipo ninaishi jirani na hiyo hotel.
Mdau USA
Wewe uliyetoa comments kuwa inafanana na apts za USA,that`s your view.Hotel ni nzuri sana,nice view, good architectual,it looks very contemporary & clean too.I hope they will have a good customer service.Tutaacha lini kuona vyetu sio vizuri?I live in US,that`s superb Hotel & I give them thumb up!!!GO TANZANIA.I hope more to come!!
ReplyDeleteNow I can see Arusha is surpassing Dar es Salaam
ReplyDeletepoa sana mkuu.
ReplyDeletebut what is with that name?
snow crest?!?! snow in Africa....mhm.
labda kimombo changu ni shallow!
yani wewe mtoa mada hapo juu ni mtumwa na uzidi kuwa mtumwa milele na milele, ndo nyie mnazamia kwa nchi za watu kurudi kwenu hamtaki.
ReplyDeleteKwa taarifa yako hiyo hoteli ni ya ukweli na imetulia tuliii,acha roho ya kwa nini.
HOpe ujumbe umekufukia,
Hamna hata haja ya kumjibu huyo JAMAA NA USA yake. Kwani what is wrong with appartments. Appartments nyingine ni bomba kuliko hata hotel, tena zipo hapo hapo bongo. Hebu tembelea mikocheni uone appartments ziitwazo 5 STARS, utagundua baadhi ya hotel ulizozizoea hazifikii hizo appartments. Tena mmiliki wake ni mbongo mweusi
ReplyDeletekuna watanzania wa ajabu sana inamaana watu hatujui kuwa kuna snow crest tanzania? kweli tembea uone.
ReplyDeleteHoteli inaridhisha, ni jambo zuri. Kitu ambacho kwenye picha kinatia shaka ni urefu kutoka sakafuni hadi darini. Hasheem Thabeet atajisikia amani kupita hapo au itakuwa kama kupita kwenye tundu la panya?
ReplyDeleteMichuzi leo hujajifotoa mwenyewe?
ReplyDeleteTeheteh teh!
and to the anon who says " kweli tembea uone" mie nimetembea kuliko unavyojua.......in fact kwa sasa niko nearby one of the highest point in far east!
ReplyDeletesasa kama unazungumzia hio snow cap ya Mount Kili..........that hotel is a long way from there, my man!
ni sawa na kuwa na hotel DC then uite Lady Liberty inn! you follow me?
Arusha iko juu Chali 'angu. Siendi Dar mimi - kwanza kuko mbali.
ReplyDeleteWe unayeringanisha apartments za Us na hotel huna MAAJABU...next tym ukae kimya.
ReplyDeleteWEWE UNAESEMA KIMOMBO CHAKO KIBAYA NI KIBAYA KWELI. UNASEMA AFRICA HAKUNA SNOW KWANI HUJUI KUWA MLIMA KILIMANJARO UNA SNOW, AND NOT ONLY THAT SNOW HUANGUKA WAKATI WA WINTER IN SOME PARTS OF NORTH AFRICA AND SOUTH AFRICA. HOTEL ZOTE ZA US SIO NZURI KUNA NYINGINE MBAYA HATA HUWA NA KUNGUNI, PANYA NA MENDE. MIMI NI MKENYA NILIKUA ARUSHA RECENTLY NA NILIPENDA SANA HOTEL ZAO.
ReplyDelete