kundi la Splendid Theatre likifanya vitu vyake wakati wa tamasha la Bagamoyo la 28 la Sanaa na Utamaduni wa Mtanzania akiwa na wasanii wanaoratibiwa na Kampuni Ukala ya Dar usiku wa kuamkia leo. Tamasha hilo la kila mwaka hufanyika Chuo Cha Sanaa Bagamoyo na ni mojawapo ya vivutio vikubwa katika kalenda ya utalii ya mji huo mkongwe. Na safari hii linafanyika katika ukumbi uliokrabatiwa na kujengwa upya wa chuo hicho
Msanii wa Irene Sanga akifanya onyesho lake wakati wa tamasha la Bagamoyo la 28 la Sanaa na Utamaduni wa Mtanzania akiwa na wasanii wanaoratibiwa na Kampuni Ukala ya Dar usiku kuamkia leo
Wasanii wa kundi la Kimanzichana la wakicheza ngoma ya uwindaji ya Naukala wakati wa tamasha la Bagamoyo la 28 la Sanaa na Utamaduni wa Mtanzania usiku wa kuamkia leo
Wasanii wa kundi la Kimanzichana wakicheza ngoma ya chaso kutoka Zanzibar kutoka kulia ni Maulid Kiseko na Kasimu Hosein.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. napenda sana hii hali ya kukuza kilicho chetu sie wazawa

    keep the good work tuko pamoja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...