uliofunguliwa na katibu mkuu wa UN leo mjinbi Geneva. Huu ni sehemu ya ujumbe wa Tanzania katika mkutano
uliofunguliwa na katibu mkuu wa UN leo mjinbi Geneva. Huu ni sehemu ya ujumbe wa Tanzania katika mkutano
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo Peter Ulanga akimpa maelezo Raisi Kagame. Kichwa cha Kibaha Secondary hicho.
ReplyDeleteat least tunaona vitu made in bongo.
ReplyDeletehuyo anayempa maelezo Kagame anafanana na Peter Ulanga. jamaa ni maakili sijaona mfano wake.
ReplyDeleteKagame is analytical and sensible planner, He is listening carefully to our Telecom experts, no wonder he is going to take them to Kigali for better Rwanda, since we don't know how to make use of our experts
ReplyDeleteyes i know this guy too.kichwa!
ReplyDeleteKweli Tanzania kuna vichwa hatari kabisa, picha ya sita wa kwanza kushoto Dr.R. Mfungahema alikuwa moto wa kuotea mbali huko Japan.
ReplyDeleteSi bure Mh. Kagame ameshapata taarifa anajiuliza yupi wa kwenda naye Rwanda.
kaka nanhiii jamaaa wametutoa ila siku nyingine watafute wataalamu wa upambaji. banda la kimataifa liwe tofauti kidogo na mnazimmoja. ila big up mwanzo mzuri
ReplyDeletejamaa wa tanzania wamejitahidi ila next tamu wafuate ushauri wa mzee pinda, badala ya T shirt Batiki inafaa.
ReplyDeletemapambo jamani mapambooooooooo mabanda ya nje tujitahidi jamani sio sabasaba hiyo mbona hivyo watanzania?
ReplyDeleteKibaha ama AZANIA. Kichwa cha AZANIA HICHO. Wacha uzushi
ReplyDeletePeter Ulanga ni kichwa cha Azania Sekondari hicho.
ReplyDeleteHiyo picha ya kwanza, huyo dada kama namkumbuka vile! Siyo Clara Ichwekeleza tuliyekuwa wote Shule ya Sekondari ya wasichana Tabora miaka 25 hivi ilopita. Kama ni yeye, alikuwa kichwa sana pia!
ReplyDeletePeter:Azania O level & Kibaha High school. majibu yote sahihi
ReplyDeleteWewe uliyeandika Clara, wala hujakosea ni yeye. Dada habahatishi, upstairs si mchezo
ReplyDeleteKweli Watanzania kwa theory kiboko,tunachokiona ni theory nyingi sana lakini practically bado tuko mbali.Nawaomba wasomi wa Tanzania muoneshe elimu yenu kivitendo.Tumieni elimu yenu kwa manufaa ya taifa na muepukane na siasa kwani wasomi wengi wanakimbilia ubunge.Hata sabasaba ya bongo tuliona mengi sana pale kilwa road ambayo mtaani hayapo.
ReplyDeleteHongera sana dada Clara (Clarence Ichwekeleza)! Picha yako na maelezo ya watoa maoni wawili hapo juu vimenikumbusha mabali sana, enzi za shule ya msingi Kajunguti. Uwezo wako kiakili na upole ni vya siku nyingi, uzidi kubarikiwa dada!
ReplyDeletenawapongeza washiriki wote katika maonyesho hayo ya ITU kwakweli mumetuwakilisha vizuri sana basi natoa changamoto kwa ofisi ya ubalozi hapo geneva kuna maonyesho ya kina mama wa ubalozi yanayokaribia angalau nao waandae kitu kama hiki jamani mwaka jana mliaibisha kabisa,wakati ndio sasa mujiandae mapema,banda la tanzania lipendeze jamani...msisubiri dakika za mwisho nyie ndo mawaziri wetu huko .
ReplyDeleteNyie Mnaobisha kuwa Peter Ulanga hakusoma Kibaha Secondary, nendeni pale Tumbi muulize Peter ni nani. Amevunja rekodi zote za Shule hajafikiwa, kichwa Computer hicho
ReplyDeleteNaomba nikuulize wewe Vic unayemfahamu Clarence umesoma Kajunguti? Na mi nimesoma hapo, tafadhali tuwasiliane kupitia gshengo@hotmail.com
ReplyDelete