ni raha ilioje kugongana na sura unayoifahamu unapokuwa vekesheni. hapa anko anakula pozi na MC angela ambaye naye yuko a-taun kwa kajivekesheni...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. hapo umetoka kama celebrity fulani hivi,ukidanganya unaishi mitaa ya Hollywood lazima wakubali tuu.

    ReplyDelete
  2. MC hongera sana kwa vazi murua la kitanzania au niseme hata la kiafrika. kama ungekuwa limbukeni (kama wengi tunakoelekea) ikizingatiwa na hiyo dhima uliyo nayo katika hafla hiyo ungetinga suti ya ulaya ili 'wenzetu' wasije kukucheka.

    ReplyDelete
  3. Afadhali bro. mathupu konozzz zimepungua siku hizi! Na umetoka pina kweli! lakini ugomvi wangu upo pale pale bado tunataka angalau snap moja ukiwa umepozi na mama mithupu mwenyewe! hapo nitaridhika.

    ReplyDelete
  4. Mzee wa Bwawa la maini naomba nikuulize swali la kizushi, mara nyingi unaweka picha za mtu na maiwaifu wake au maihazibendi wake mbona wewe sijaona picha yako na Maiwaifu wako? samahani kama nimekuudhi.Lakini hongera kwa kazi unayoifanya

    ReplyDelete
  5. Michuzi

    Umependeza kweli na hiyo pamba Hongera!!!!!
    hiyo pamba umenunua au ni ya kuazima? Mh Pinda ameshauri tuendelee kuvaa fulana kwani hali zetu si nzuri kihivyo. tehetehetehetehe kwikwikwi

    ReplyDelete
  6. Ahaaaaaaaaaa, kumbe mikonoz ina maeneo yake, hapo mbona siioni? halafu matokeo ya UEFA ni vp, haswa Liverpool na Fiorentina!

    ManUtd-Die-Hard-Fan

    ReplyDelete
  7. Huwa nampenda sana huyo dada Angela. Anaimudu sana kazi ya u Mc.

    ReplyDelete
  8. Eee bana eee!!
    Sasa kumekuchwa Tshirts kweli kwishney!!
    Mkuu Mithupu hapa umeweka pamba za kiutu uzima, na unaweza kupewa mada ya kuwasilisha hapo a-taun.

    ReplyDelete
  9. Mithupu kweli mimi nina oga kuwa uliachika,mbona unapenda sana konozz na maiwaifu wawatu??ila leo umesahau?nini!, Yaani ulishindwa hata siku moja kuonyesha picha ukiwa na chako?angalau siku moja tuu,iasee watu wa uswahilini nawaogopa,,ila leo konozzz umeshusha.Mithupu bila flanazz hupendezi hata kidooogo kwani wewe una shepu y a flanazz kila mwanya.

    ReplyDelete
  10. Mdau Lubida hiyo kauli ya Mhe Pinda kuhusu mavazi ina maana pana. kwa wabongo ambao waishakumbwa na gonjwa la kuiga bila kuchuja (ulimbukeni) hawawezi kumwelewa! Anachojaribu kusema ni kwamba jamii ikijenga utamaduni wa moyo wa kujiamini na kujitegemea inapata mafanikio makubwa. utamaduni huu pia hujidhihirisha katika mavazi. ametolea mfano wa Indonesia nchi ambayo leo hii sisi tunaovalia suti tunakinga bakuli ili itusaidie!!!
    akili yetu ya utegemezi imetupekea hadi kushindwa kubuni mavazi ambayo tunaweza kujivunia kuwa tumeyabuni sisi na kuwavutia watu wengine watamani kuyaiga na hivyo kuyanunua. tungenufaika kiuchumi na kitamaduni pia. kwa msingi huo wabunifu wetu wa mavazi wanahitaji kuungwa mkono na wabongo wote waliodanganyika na ambao bado hawajadanganyika.

    ReplyDelete
  11. ah, anko Michu bwana tabasam hilo linalipa! Michuzi wewe hendisamu bwana...

    ReplyDelete
  12. Wewe Michuzi hata kama uko kazini unaita Vekesheni.

    Labda uijue maana ya vekesheni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...