Home
Unlabelled
vekesheni yazidi kunoga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hapo umetoka kama celebrity fulani hivi,ukidanganya unaishi mitaa ya Hollywood lazima wakubali tuu.
ReplyDeleteMC hongera sana kwa vazi murua la kitanzania au niseme hata la kiafrika. kama ungekuwa limbukeni (kama wengi tunakoelekea) ikizingatiwa na hiyo dhima uliyo nayo katika hafla hiyo ungetinga suti ya ulaya ili 'wenzetu' wasije kukucheka.
ReplyDeleteAfadhali bro. mathupu konozzz zimepungua siku hizi! Na umetoka pina kweli! lakini ugomvi wangu upo pale pale bado tunataka angalau snap moja ukiwa umepozi na mama mithupu mwenyewe! hapo nitaridhika.
ReplyDeleteMzee wa Bwawa la maini naomba nikuulize swali la kizushi, mara nyingi unaweka picha za mtu na maiwaifu wake au maihazibendi wake mbona wewe sijaona picha yako na Maiwaifu wako? samahani kama nimekuudhi.Lakini hongera kwa kazi unayoifanya
ReplyDeleteMichuzi
ReplyDeleteUmependeza kweli na hiyo pamba Hongera!!!!!
hiyo pamba umenunua au ni ya kuazima? Mh Pinda ameshauri tuendelee kuvaa fulana kwani hali zetu si nzuri kihivyo. tehetehetehetehe kwikwikwi
Ahaaaaaaaaaa, kumbe mikonoz ina maeneo yake, hapo mbona siioni? halafu matokeo ya UEFA ni vp, haswa Liverpool na Fiorentina!
ReplyDeleteManUtd-Die-Hard-Fan
Huwa nampenda sana huyo dada Angela. Anaimudu sana kazi ya u Mc.
ReplyDeleteEee bana eee!!
ReplyDeleteSasa kumekuchwa Tshirts kweli kwishney!!
Mkuu Mithupu hapa umeweka pamba za kiutu uzima, na unaweza kupewa mada ya kuwasilisha hapo a-taun.
Mithupu kweli mimi nina oga kuwa uliachika,mbona unapenda sana konozz na maiwaifu wawatu??ila leo umesahau?nini!, Yaani ulishindwa hata siku moja kuonyesha picha ukiwa na chako?angalau siku moja tuu,iasee watu wa uswahilini nawaogopa,,ila leo konozzz umeshusha.Mithupu bila flanazz hupendezi hata kidooogo kwani wewe una shepu y a flanazz kila mwanya.
ReplyDeleteMdau Lubida hiyo kauli ya Mhe Pinda kuhusu mavazi ina maana pana. kwa wabongo ambao waishakumbwa na gonjwa la kuiga bila kuchuja (ulimbukeni) hawawezi kumwelewa! Anachojaribu kusema ni kwamba jamii ikijenga utamaduni wa moyo wa kujiamini na kujitegemea inapata mafanikio makubwa. utamaduni huu pia hujidhihirisha katika mavazi. ametolea mfano wa Indonesia nchi ambayo leo hii sisi tunaovalia suti tunakinga bakuli ili itusaidie!!!
ReplyDeleteakili yetu ya utegemezi imetupekea hadi kushindwa kubuni mavazi ambayo tunaweza kujivunia kuwa tumeyabuni sisi na kuwavutia watu wengine watamani kuyaiga na hivyo kuyanunua. tungenufaika kiuchumi na kitamaduni pia. kwa msingi huo wabunifu wetu wa mavazi wanahitaji kuungwa mkono na wabongo wote waliodanganyika na ambao bado hawajadanganyika.
ah, anko Michu bwana tabasam hilo linalipa! Michuzi wewe hendisamu bwana...
ReplyDeleteWewe Michuzi hata kama uko kazini unaita Vekesheni.
ReplyDeleteLabda uijue maana ya vekesheni