MKUU WA MKOA WA MWANZA ABASS KANDURU AKIWATEMBELEA VIJANA WA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA MWALIMU J.K. NYERERE WALIPOFIKA KATIKA KITUO CHA SKULI YA MSINGI CHAMUGASA WILAYA YA MAGU MKOA WA MWANZA.
KATIBU MKUU WA UMOJA WA VIJANA WA CCM KULIA MARTIN SHIGALA AKIONGOZA MATEMBEZIHAYO WAKIWASILI KIJIJI CHA LAMADI WILAYA YA MAGU .

VIJANA UMOJA WA VIJANA WA CCM WAKIPITA KATIKA KIJIJI CHA LAMADI KATIKA KAMBI YAO YA MAPUMZIKO ILI ,MUENDELEA NA SAFARI YAO YA KIJIJI BUNDA WILAYA YA MARA.
VIJANA WA UVCCM WAKIWASILI KATIKA KIJIJI CHA LAMADI WILAYA YA MAGU WAKIWA NA BANGO LENYE UJUMBE KUWAFIKISHIA WANANCHI WAKIWA KATIKA MATEMBEZI YAO YAKUMUENZI BABA WA TAIFA MAREHEMU J.K NYERERE. PICHA NA MDAU OTHMAN MAPARA WA ZANZIBAR LEO




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hongereni vijana wa uvccm ni moja ya muendelezo wa kumuenzi baba wa Taifa

    ReplyDelete
  2. kutembea huko tu hakutoshi ndugu wanajumuiya wenzangu ila sisi kama vijana inabidi tuwe mstari wa mbele kuhakikisha nchi yetu inapata maendeleo ya kweli na yenye tija kwa jamii yote ya watanzania.
    pili,UVCCM imekuwa ikishutumiwa sana kutumiwa na mafisadi,naomba katibu mkuu na mwenyekiti katika hili tulibadilishe kwani tunaipeleka pabaya jumuiya yetu ambayo inatakiwa kuwa ya kwanza katika kuokoa maisha ya watanzania wa leo.

    ReplyDelete
  3. na wakinadada waliobeba migoma mikubwa huko mgongoni nao pia wamo..ama kweli CCM wanaojilipa sio vigogo tu ,hata hawa vidagaa nao pia wanajilipia humohumo kwa urefu wa kamba zao.Hapo utawaambia nn washajishibia ubwabwa wao wa nazi na kila kijiji wametengewa debe lao la pombe oya oya hadi Butiama hio.Maana yake hatuoni mabango yakibeba ujumbe wa kumuenzi mwalimu badala yake ni kuinadi CCM ktk kila bango,hebu tuuache huo unazi kwa njaa zetu za muda mchache zikatusababisha tukawa mafukara vizazi na vizazi kwa taifa letu.

    ReplyDelete
  4. Tumeshasahau njaa na hali mbaya ya hazi za binadamu za Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...