Home
Unlabelled
vijana watembe mwanza hadi butiama kumkumbuka mwalimu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongereni vijana wa uvccm ni moja ya muendelezo wa kumuenzi baba wa Taifa
ReplyDeletekutembea huko tu hakutoshi ndugu wanajumuiya wenzangu ila sisi kama vijana inabidi tuwe mstari wa mbele kuhakikisha nchi yetu inapata maendeleo ya kweli na yenye tija kwa jamii yote ya watanzania.
ReplyDeletepili,UVCCM imekuwa ikishutumiwa sana kutumiwa na mafisadi,naomba katibu mkuu na mwenyekiti katika hili tulibadilishe kwani tunaipeleka pabaya jumuiya yetu ambayo inatakiwa kuwa ya kwanza katika kuokoa maisha ya watanzania wa leo.
na wakinadada waliobeba migoma mikubwa huko mgongoni nao pia wamo..ama kweli CCM wanaojilipa sio vigogo tu ,hata hawa vidagaa nao pia wanajilipia humohumo kwa urefu wa kamba zao.Hapo utawaambia nn washajishibia ubwabwa wao wa nazi na kila kijiji wametengewa debe lao la pombe oya oya hadi Butiama hio.Maana yake hatuoni mabango yakibeba ujumbe wa kumuenzi mwalimu badala yake ni kuinadi CCM ktk kila bango,hebu tuuache huo unazi kwa njaa zetu za muda mchache zikatusababisha tukawa mafukara vizazi na vizazi kwa taifa letu.
ReplyDeleteYANGA
ReplyDeleteTumeshasahau njaa na hali mbaya ya hazi za binadamu za Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea.
ReplyDelete