CATHERINE BONIFACE MICAHEL AKIWA NA FURAHA KWA KUPATA KOMUNIO YA KWANZA KATIKA KANISA LA KRISTU MFALME TABATA KARIBUNI. BAADAE ALIJIUNGA NA FAMILIA YAKE KWENYE SHEREHE FUPI ILOFANYIKA ILALA MCHIKICHINI UKUMBI WA CCM. MASISTA WALIOTOA MAFUNZO KWA CATHERINE NA WENZAKE

CATHERINE AKIMLISHA MAMA YAKE KEKI KWENYE SHEREHE YAKE



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Katarina, Hongerasa sana umependeza, kubali kuishi kama Mama Bikira Maria ili awe mlinzi kwa maisha yako. Mshike Yesu kwa mkono wako wa kuume. UTASHINDA KILA KITU.

    ReplyDelete
  2. KUWA CATHERINE TUKUTUME

    ReplyDelete
  3. ndugu michuzi sasa mnataka kuharibu blog yetu kwa kuweka mambo yasiokuwa na msingi,kipaimara,komunio siju harusi vyote watavipata kwenye nipashe na majarida mengine hapa ni kazi kazi tu na mambo muhimu ya kuelimisha jamii sio hayo ya komunio,ebu lifikirie suala ili tukiweka mambo ya arusi watu watajaza blog yote kwa picha za arusi,kwani wanaweza kuiambia kamati ya arusi lipia kwenye blog na mi nionekane namelemeta.stop those funny things.
    mdau.

    ReplyDelete
  4. mie hiyo keki tu, very nice. bongo kwa ubunufu wa keki nawawapa hongera. hongera kat!

    ReplyDelete
  5. Catherine ufuate waliyokufundisha kanisani ukue, usome uje kuwa mdada mzuri.

    ReplyDelete
  6. Anonymous wa 03:45:00 PM

    Nenda Kafungue BLOG yako uamue nini cha kupost
    na sio kumwambia Michuzi afanyeje na yake

    BLOG ni free kufungua

    ReplyDelete
  7. Zamoyoni zamoyoni, nyonda..., hasira zitoe duniani duniani nakupenda wewe,... jamani tunda hiloooo, nitalipataje....!? tunda nalipendaaaa...., nitalipataje!?...

    ReplyDelete
  8. Kikristo sio kikristu, wajahidina utawajua tuu.

    ReplyDelete
  9. mdau hapo juu mbavu zangu wee wajahidina what??? ha ha haaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...