Mshiriki wa Bigbrother Africa Revolution Elizabeth Gupta ambaye aliwasili jana uwanja wa ndege wa mwalimu J.K.Nyerere akitokea sauzi leo anaongea na wanahabari katika hoteli ya Paradise City iliyoko katika jengo la Benjamin Mkapa Towers zamani Mafuta House. Mkutano huo umeanza saa nne asubuhi hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. kilichokuponza ni kujishaua wazungu my foot as if wewe mzungu.ungetulia ungeshinda welcome home its not all abt the money we are still proud of u

    ReplyDelete
  2. NA HII ITAKUWA MARA YAKE YA KWANZA KUONGEA NA BLACK JOURNALISTS.

    ReplyDelete
  3. Kuna nini la zaidi?! wabongo kwa shughuli! duh kama stori ya mtu kageuka chatu Buguruni! hahaha haya wazee mtuletee news kaachia paja kwa wangapi, maana bongo udaku udaku ndo unauza. hahhaha!

    ReplyDelete
  4. Bora umerudi mpenzi, maana nilikumiss kweli!!!!!

    ReplyDelete
  5. You had a lot of fans in the beginning until when you came out of your shell!your arrogance and nasty behaviuor costed you a lot!
    you were also not proud of your country unlike Mwisho,Richard,and Latoya.
    You were not comfortable with your skin but in reality you are an African lady and that's it!
    I can't say much you reep what you sow.Nnkena was the one to leave and not you.

    ReplyDelete
  6. HONGERA ELIZABETH UMEFANYA ULILOWEZA, UMETOKA SIO KWA KUWA HUJUI ILA NI MCHEZO ULIOCHUKUA WASHIRIKI WENGI UNAOHITAJI MSHINDI MMOJA. KARIBU NYUMBANI.

    ReplyDelete
  7. dada karibu nyumbani! ila tulikutuma ukaitangaze Tanzania na vivutio vyake ili uchumi wetu uongezeke kwa kupata watalii wengi, mwenzetu umetangaza habari za wachawi nchini,na watuhimiwa walioko ndani kwa kesi mbalimbali, kwani wenzio kwao hakuna hayo? mbona hawakusema? kiburi, hasira na ujeuri wako ndio uliokurudisha nyumbani mapema ulistahili kukaa mpaka mwisho.

    ReplyDelete
  8. Natumaini ndugu zako wamekurekodia maisha yako ndani ya nyumba. otherwise No Comment!

    ReplyDelete
  9. Watanzania bwana ndo maana hatuendelei yani tunapenda kuchukua neno moja kulikuza na kuliwekea hoja, na nivizuri tusipende kufuata hapo nyuma yaani akisema kitu mtu mmoja ndo wote tunafuata hapo.
    Hajasema kuwa hapendi ngozi nyeusi ila kasema hajawahi kudate na ngozi nyeusi na hiyo ni yeye na ni wangapi hapa bongo hawajawahi kudate na weusi acheni mambo hayo.
    Sasa wewe ulitaka kila muda aongelee utalii tu wewe mara ngapi umejaribu kuutangaza utalii wako huo uchumi unataka upande wakati wewe ndo wakwanza kukimbia kodi acheni hizo.TUBADILIKE LA SIVYO WATU WATAOGOPA KUWA WAWAKILISHI. Karibu nyumbani umefanya vizuri sana na wengi wanakupenda c tanzania tu ni dunia nzima.

    ReplyDelete
  10. karibu leo tutakutoa kwenye komedy tunaomba uangalie EE DADA ELIZAmambo uliyofanya kule

    ReplyDelete
  11. hee watanzania waswahiliiiiiii wewe ulitaka atangaze utalii wewe umeutangaza Fisadi mkubwa wewe.mwacheni dada wawatu kajitahidi saana.Watanzania mnapenda kuchukua neno moja nakutungia maneno kibao alisema hajawahi date black kwani ni kosa kusema hivyo?ndio hajawahi kudate ulitaka asema amedate?hakusema hapendi plzz msimnote vibaya.acheni ujinga na lawama watanzania wewe umefanyia nchi yaki nini cha maana mpaka umlaumu yeye?watu wataogopa kuwakilisha nchi sasa mana watanzania hatuna jema kazi ni lawamatu.Nayeye ni binadamu anamapungufu yake lazima tulitambue hilo.Elizabeth hongera sana mdogo wangu umejitahidi ulivyoweza Mungu akutie nguvunilikupigia kura saana lakini haina shida its a game.Watanzania hatuna mambo yakuwasapoti watu ndio mana tumeshindwa kupigia kura mwakilishi wetu hadi ametolewa.Nkena mbona anafanya madudu sana hadi wanigeria wenyewe hawampendi lakini unaona alivyokuwa up 4ection wamempigia kura hadi amebaki watanzania hatupigi kura kazi yetu ni lawama,Watanzania tubadilike jamani

    ReplyDelete
  12. UMETOKA KWA KUJITAKIA MWENYEWE. ULIANZA VIZURI SANA NA WENGI TULIKUWA TUNAKUPIGIA KURA NYINGI TUKITAKA UENDELEE KUBAKI. LAKINI BAADAYE ULIJISAHAU NA KUTUONYESHA UHALISIA WAKO KWA KUWA UNATOA KAULI AMBAZO HAZIKUWA NA MANUFAA.

    SASA UMERUDI, FANYA REVIEW YA YALE ULIYOKUWA UKIYAONGEA UONE NI WAPI ULIKOSEA. WATU HUJIRUDI NAFASI BADO UNAYO, ANZA UPYA YALE YA KULE MJENGONI YABAKI HUKO HUKO. KARIBUNI NYUMBANI, ANYWAY.

    ReplyDelete
  13. nilijitahidi kukupigia kura kwenye website kila baada ya saa moja walivyokua wanakunominate na kuwahamasisha wenzangu tukupigie uendelee kubaki lakini imeshindikana

    watanzania tuwe na ushirikiano wa kuwapigia wenzetu kura kwenye mashindano mbalimbali kura zikiwa chache wakitoka mnaanza kuwakosoa na kuwalaumu

    tuwe na upendo na ushirikiano,hata kama ile hela hautaipata wewe lakini inakuja nchini ikikaa bank si utakopeshwa?

    ReplyDelete
  14. No comments utaloona zuri wenzio wanaliona baya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...