Home
Unlabelled
elizabeth na wadau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka vipi kulikuwa na joto sanaaa nini mbona mtoto ka kikwapa kimeloaaaa. My own opinion
ReplyDeleteMichuzi unatisha! Kazi kweli kweli!
ReplyDeleteHivi bongo hamna anti-perspirant deodorant?, manake mmmh kikwapa kinatema kama bomba la NUWA!!
ReplyDeleteAnko leo umetoka na ze shati.ze shat from sweden,usibishe anko wee angalia hata lebel ya hiyo shati ni LGG (lebel with Graded Good).
ReplyDeletehuoni ata jamaa shoto apo nae kalowa kifua...
ReplyDeleteafu michu kwakwel umeshindikana iyo pic ya mwisho
sisemi watu wanaona
Kikwapa ni asili ya mtu mwenyewe hata kukiwepo na baridi wengine kikwapa kina mimina jasho tu hata uweke shield haisaidi kitu mmesahau kijoto cha bongoland wakuuu harusfu za kikwapa utaanza kuzisikia ukishuka kipawa noma
ReplyDeleteUshauri wa bure binti Liz, tumiea Deodorant, epuka kuvaa nguo zinazo bana sana, kwani kwa binti mzuri kama we haileti picha nzuri mambo ya "kikwapa"
ReplyDeleteAnko you are toooo close!!!! au una pay back kwani junior naye alikuwa too close na Bety!!! Naona like father like son lol! Mmembana mtoto wa wato ndo maana amepatwa na joto kali kumfanya alowane kidogo! She deserves Personal Space Please!
ReplyDeleteAcheni kuwika vijana nathani mnajua mandhari ya hapo mahala hakuna aeration ya kutosha so hata kama una deodorant yako utatokwa jasho kwa jinsi kunavyojaa pomoni!
ReplyDeleteHalafu huyu Gadna nae kala konoz na Liz. Jide ameona? Maana na wadoezi picha haziendi. Jide mamaaa,uko wapi naona papaa anafanya vitu vyake kama kawaida yake. Jamaa kiboko huyo. Piga ua lazima atafunga goli tena mara nyingi la kisigino.
ReplyDeleteLiz,tumia deodorant mamiii.
Halafu acha kuvaa ma sox ya winter. Yale waachie jamaa wa majuu.
heheheh eti wamembana, hamjui kuwa once ur not White or biracial huwezi mpata huyo dada?
ReplyDeleteHivi cc wa-TZ tumelogwa hivi lazima tupeleke WARANGI-RANGI 0.5 tu Big Brother? Ona MWISHO,RICHARD,LATOYA na sasa ELIZABETH? Why?
ReplyDeleteNo jamaa wa shoto sio jasho itakuwa ni matone ya The Lager.
Dawa bora ya kwapa ni baking soda(remember people not baking powder ni baking soda)weka kidogo kiganjani then weka tone la maji then kwapani,kwapa litakuwa kimya all day long.kama wafuja sana weka dry baking soda ila sio kila mara inaweza kukuchubua.Haya Eliza dawa hiyo.
ReplyDeleteWABONGO KWA KUNYWA TIZAMA JAMAA KULE NYUMA ALIVYOCHAFUWA MEZA SAFI SANA. KAZINDORINMBWE.
ReplyDeleteuncle usiwasikilize hao, hakuna cha deodorant wala nini, mkono wako kweli unatafuta pa kushika, bali angalia, big brother, dawa bado hakuna
ReplyDeletejamani kuna material nyingine hata uweke deodorant gani kikwapa ni lazima kipumue tu polyester silk spandex nguo za material hizi zinajuaga sana kuaibisha watu hadi zinakera halafu ndo zinakuwaga bomba kweli mtu huna choice unakomaa nayo tu minguo inavuta kikwapa dawa yake ni kununua rangi nyeusi hainyoshi kikwapa
ReplyDeletejohn yupo zantel siku hizi?shoga eliza kikwapa
ReplyDeleteNingependa kujua kama Gupta ni jina la Kiafrika pia kwa kuwa hapa Uhindini ni la Kihindi.
ReplyDeletembavu zangu duh!!wabongo
ReplyDeletegupta babae uyu binti ni muhindi navosikia ndo maana ajiita 0.5,na hajadate mweusi!!