mshiriki wa Big Brother Revolution Elizabeth Gupta usiku kuamkia leo alikuwa kwa Jide Masaki ambapo wadau walijumuika kuendelea kumpongeza na kumkaribisha nyumbani. Juu akiwa na Kepteeeeiiin Gadna G. Habash pamoja na mdau wa Zantel, John. chini akila konozzz na anko



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. kaka vipi kulikuwa na joto sanaaa nini mbona mtoto ka kikwapa kimeloaaaa. My own opinion

    ReplyDelete
  2. Michuzi unatisha! Kazi kweli kweli!

    ReplyDelete
  3. Hivi bongo hamna anti-perspirant deodorant?, manake mmmh kikwapa kinatema kama bomba la NUWA!!

    ReplyDelete
  4. Anko leo umetoka na ze shati.ze shat from sweden,usibishe anko wee angalia hata lebel ya hiyo shati ni LGG (lebel with Graded Good).

    ReplyDelete
  5. huoni ata jamaa shoto apo nae kalowa kifua...

    afu michu kwakwel umeshindikana iyo pic ya mwisho

    sisemi watu wanaona

    ReplyDelete
  6. Kikwapa ni asili ya mtu mwenyewe hata kukiwepo na baridi wengine kikwapa kina mimina jasho tu hata uweke shield haisaidi kitu mmesahau kijoto cha bongoland wakuuu harusfu za kikwapa utaanza kuzisikia ukishuka kipawa noma

    ReplyDelete
  7. Ushauri wa bure binti Liz, tumiea Deodorant, epuka kuvaa nguo zinazo bana sana, kwani kwa binti mzuri kama we haileti picha nzuri mambo ya "kikwapa"

    ReplyDelete
  8. Anko you are toooo close!!!! au una pay back kwani junior naye alikuwa too close na Bety!!! Naona like father like son lol! Mmembana mtoto wa wato ndo maana amepatwa na joto kali kumfanya alowane kidogo! She deserves Personal Space Please!

    ReplyDelete
  9. Acheni kuwika vijana nathani mnajua mandhari ya hapo mahala hakuna aeration ya kutosha so hata kama una deodorant yako utatokwa jasho kwa jinsi kunavyojaa pomoni!

    ReplyDelete
  10. Halafu huyu Gadna nae kala konoz na Liz. Jide ameona? Maana na wadoezi picha haziendi. Jide mamaaa,uko wapi naona papaa anafanya vitu vyake kama kawaida yake. Jamaa kiboko huyo. Piga ua lazima atafunga goli tena mara nyingi la kisigino.
    Liz,tumia deodorant mamiii.
    Halafu acha kuvaa ma sox ya winter. Yale waachie jamaa wa majuu.

    ReplyDelete
  11. heheheh eti wamembana, hamjui kuwa once ur not White or biracial huwezi mpata huyo dada?

    ReplyDelete
  12. Hivi cc wa-TZ tumelogwa hivi lazima tupeleke WARANGI-RANGI 0.5 tu Big Brother? Ona MWISHO,RICHARD,LATOYA na sasa ELIZABETH? Why?

    No jamaa wa shoto sio jasho itakuwa ni matone ya The Lager.

    ReplyDelete
  13. Dawa bora ya kwapa ni baking soda(remember people not baking powder ni baking soda)weka kidogo kiganjani then weka tone la maji then kwapani,kwapa litakuwa kimya all day long.kama wafuja sana weka dry baking soda ila sio kila mara inaweza kukuchubua.Haya Eliza dawa hiyo.

    ReplyDelete
  14. WABONGO KWA KUNYWA TIZAMA JAMAA KULE NYUMA ALIVYOCHAFUWA MEZA SAFI SANA. KAZINDORINMBWE.

    ReplyDelete
  15. uncle usiwasikilize hao, hakuna cha deodorant wala nini, mkono wako kweli unatafuta pa kushika, bali angalia, big brother, dawa bado hakuna

    ReplyDelete
  16. jamani kuna material nyingine hata uweke deodorant gani kikwapa ni lazima kipumue tu polyester silk spandex nguo za material hizi zinajuaga sana kuaibisha watu hadi zinakera halafu ndo zinakuwaga bomba kweli mtu huna choice unakomaa nayo tu minguo inavuta kikwapa dawa yake ni kununua rangi nyeusi hainyoshi kikwapa

    ReplyDelete
  17. john yupo zantel siku hizi?shoga eliza kikwapa

    ReplyDelete
  18. Ningependa kujua kama Gupta ni jina la Kiafrika pia kwa kuwa hapa Uhindini ni la Kihindi.

    ReplyDelete
  19. mbavu zangu duh!!wabongo

    gupta babae uyu binti ni muhindi navosikia ndo maana ajiita 0.5,na hajadate mweusi!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...