A NEW PLACE TO STAY IN BAGAMOYO, INSPIRED BY THE HERITAGE STYLE ARCHTECTUAL
-MALARIA FREE ZONE
-GREEN VIEW AND NICE GARDEN
-LUXURIOUS INTERIOR
-SPACIOUS ROOMS
-HIGH CEILING
-EACH HOUSE HAS DIFFERENT INTERIOR DECORATION
-AIR CONDITIONING
-CABLE NETWORK DSTV
-LOW PRICE !!!!
-SINGLE BED ROOM AT 40 USD PR DAY
-DOUBLE BED ROOM AT 45 USD PR DAY
-STUDENTS AND GROUP FOR LONG STAY
WILL BE OFFERED SPECIAL RATES
-CALL
-CALL
+47 96887028
+255 652909408
I like the maralia free zone
ReplyDeleteNakuja kwa ajili ya sikukuu ya Noel kaka Michuzi naomba nikualika twenda hapo
ReplyDeletehi,yeeeea the place is so cool man i was there in ma honeymoon so beautfully gardens,view,every thing i really like it.i recomand for every one who visit Bagamoyo,
ReplyDeletefrom Mustafa & Hasna
Mauwaaaaaaaaaaaaaaaaaaji Safari hii wambea hawatoniona tena Safari Bagamoyo.... Ndosi.
ReplyDeletemichuzi kaa chonjo kuna mtu anakualika kwenda hapo chumbani..hatujui kama kaka au dada??tupe majawabu ukirudi.
ReplyDeleteHii imekaa vizuri kwa wanaopenda kupumzika bila bugudha. Hivi vihoteli vya huku mjini ukienda hata na mfanyakazi mwenzio kwenye kazi maalum (special assignment) au Task Force ( Kikosi kazi) basi watu wataanza kuchonga sana juu yenu.
ReplyDeleteI like this and I urge to those who are remained with EPA change to build as many Hotels in bagamoyo as possible to bring discipline to paparazis.
Muathirika(victim) wa mapaparazi
ndio pazuri...na tunataka sana kwenda tatizo ni mbona hizo number hazipatikani,alafu ni kama vile zimekosewa coz hakuna sehemu tanzania kuna landline yenye namba zaidi ya saba jamani,tunaomba namba we want to come huko mwisho wa mwezi so plzz namba kabla ya tarehe 24 jamani.
ReplyDeleteSehemu imetulia, panafaa kwa mtu usiyetaka bughudha, ni bei ni nzuri. Mtapata watu wengi mkiacha katika reasonable rate, mkumbuke tu customer service nzuri na usafi. Mpiga picha tumekuona kwenye kioo, picha ya pili kutoka chini.
ReplyDeletehahaaa annon 07:38:00pm hahahaaa
ReplyDeleteanyway tunaitaji contacts za uhakika +47 96887028,+255 652909408
za wapi hizi???
isijekuwa booking office ziko sauzi ndo upate room apo kwa izi namba chui za nchi gani
mambo vp?@ mustafa na hasna.kaka umesema umeshawahi kwenda je sh ngapi hapo kwa siku?nijulishe kwa alshakir@yahoo.com
ReplyDelete