WELCOME TO BAGAMOYO THE HERITAGE OLD TOWN

A NEW PLACE TO STAY IN BAGAMOYO, INSPIRED BY THE HERITAGE STYLE ARCHTECTUAL

-MALARIA FREE ZONE
-GREEN VIEW AND NICE GARDEN
-LUXURIOUS INTERIOR
-SPACIOUS ROOMS
-HIGH CEILING
-EACH HOUSE HAS DIFFERENT INTERIOR DECORATION
-AIR CONDITIONING
-CABLE NETWORK DSTV
-LOW PRICE !!!!
-SINGLE BED ROOM AT 40 USD PR DAY
-DOUBLE BED ROOM AT 45 USD PR DAY
-STUDENTS AND GROUP FOR LONG STAY
WILL BE OFFERED SPECIAL RATES
-CALL
+47 96887028
+255 652909408
KARIBUNI -WELLCOME -VELKOMMEN


beautiful side view
spacious rooms with plasma tv
homely decor
serene nights

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. I like the maralia free zone

    ReplyDelete
  2. Nakuja kwa ajili ya sikukuu ya Noel kaka Michuzi naomba nikualika twenda hapo

    ReplyDelete
  3. hi,yeeeea the place is so cool man i was there in ma honeymoon so beautfully gardens,view,every thing i really like it.i recomand for every one who visit Bagamoyo,
    from Mustafa & Hasna

    ReplyDelete
  4. Mauwaaaaaaaaaaaaaaaaaaji Safari hii wambea hawatoniona tena Safari Bagamoyo.... Ndosi.

    ReplyDelete
  5. michuzi kaa chonjo kuna mtu anakualika kwenda hapo chumbani..hatujui kama kaka au dada??tupe majawabu ukirudi.

    ReplyDelete
  6. Hii imekaa vizuri kwa wanaopenda kupumzika bila bugudha. Hivi vihoteli vya huku mjini ukienda hata na mfanyakazi mwenzio kwenye kazi maalum (special assignment) au Task Force ( Kikosi kazi) basi watu wataanza kuchonga sana juu yenu.

    I like this and I urge to those who are remained with EPA change to build as many Hotels in bagamoyo as possible to bring discipline to paparazis.

    Muathirika(victim) wa mapaparazi

    ReplyDelete
  7. ndio pazuri...na tunataka sana kwenda tatizo ni mbona hizo number hazipatikani,alafu ni kama vile zimekosewa coz hakuna sehemu tanzania kuna landline yenye namba zaidi ya saba jamani,tunaomba namba we want to come huko mwisho wa mwezi so plzz namba kabla ya tarehe 24 jamani.

    ReplyDelete
  8. Sehemu imetulia, panafaa kwa mtu usiyetaka bughudha, ni bei ni nzuri. Mtapata watu wengi mkiacha katika reasonable rate, mkumbuke tu customer service nzuri na usafi. Mpiga picha tumekuona kwenye kioo, picha ya pili kutoka chini.

    ReplyDelete
  9. hahaaa annon 07:38:00pm hahahaaa

    anyway tunaitaji contacts za uhakika +47 96887028,+255 652909408
    za wapi hizi???
    isijekuwa booking office ziko sauzi ndo upate room apo kwa izi namba chui za nchi gani

    ReplyDelete
  10. mambo vp?@ mustafa na hasna.kaka umesema umeshawahi kwenda je sh ngapi hapo kwa siku?nijulishe kwa alshakir@yahoo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...