
BONGODJS
PROUDLY PRESENTS
CELEBRATION OF TANZANIA INDEPENDENCE DAY
ON SAT 5TH DECEMBER 2009
@ THE PRESTIGEOUS LA ROYALE BANQUENTING
SUITES 819-821 HIGH ROAD
TOTTENHAM LONDON N17 8ER
FROM 7PM-3AM
FOR ONLY£15
COME AND ENJOY LIVE
BAND BONGODJS ON THE MIX,
PS PASS THE MESSAGE AROUND!
SPECIAL NITE NOT TO BE MISSED!!!
SPONSORED BY SWIFT FREIGHTS UK,
TZUK.com &BONGOTIMES
Mbona sasa unaandika For only £15
ReplyDeleteMzee hapa ipo kazi £15 x Tsh 2150 =
Tsh = 32,250
mbona bei kubwa hivyo jamani,
9/12/1961 - siku ya uhuru na sio 5/12/1961
Mkulima nchomba chilingi
Jamani mtakwenda kuvutwa ndimi zinu siku ya kufufuliwa kwa kusema na kuoandika mambo ya uongo basi hata hamuoni aibu hivi TANZANIA imetawalia na nani na mwaka gani wacheni kupotosha Historia jamani.
ReplyDeleteUhuru wa Tanganyika sio wa Tanzania.
ReplyDeleteMbona ni utata kuhusu tarehe ya uhuru wa Tanzania??Tunavyoelewa baada ya Muungano siku Uhuru ama Siku ya Taifa ni 26/4..zaidi ya hapo tarehe 9/12 ni siku ya uhuru wa Tanzania bara(tanganyika) na 12/1 ni mapinduzi zanzibar..Vyema haya yawe wazi kwani hata ulimwenguni tunawachanganya watu......
ReplyDeletesasa hapo tuelewe tarehe 5 dec ya ijumaa au 5 dec ya jumamosi. wa tz!!!!!
ReplyDeleteNyie wabongo wa London punguzeni njaa. Kiingilio paundi 15 kwani huko ndani kuna nini hasa? Hiyo kama haitoshi ukiwa ndani watakuchaji paundi 3 kwa kajichupa kamoja ka bia. Acheni tamaa nyie wabongo wa London.
ReplyDeleteTZ ni siku ya kuwashirikisha Watanzania wote na Ubalozi ilitakiwa kwa siku hiyo moja maalumu kushiriki ili Kiingilio kisiwe kikubwa kama ilivyo zamani. Wenzetu wana Ugandan day, Zambian Day na hakuna kiingilio. Hili suala lazima liangaliwe.
ReplyDeletejamani acheni kuwa watu wa kurahumu tu hiyo tarehe 9 itakuwa siku gani na nani uatamtoa katika ya week tuwe na ushirikiano basi isiwe kila kitu mtu unaona ni rahisi jamaa wanajitahidi na sidhani kama kuna shughuri ambayo unaweza kuifanikisha bila kuingia gharama itakuwa sio jambo la busara kwa sisi tunaoishi nje nadhani tunajua shughuri hizi zinatukutanisha badala ya kuhumia sana na box na ni mara moja kwa maka £15 sio hatari mi na wadau kibao nimeshawastua tutakuja wabongo tuache majungu
ReplyDelete