JK akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mpya wa Rwanda nchini, Mheshimiwa Fatuma Ndangiza Nyirakobwa, na baadaye Rais kikwete alifanya mazungumzo na Balozi huyo,ikulu Jijini Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hapo mzee wa naniii ! nimekubali pamoja na kwamba ilichelewa kuripotiwa sasa tumeipata hiyo habari ya mmoja wa Mabalozi wetu wa ukanda huu - WANAWAKE KEEP IT UP BALANCING THE STORIES.

    Hongereni Nchi ya Rwanda kwa kupiga hatua mbele kwa kasi ya kutisha 1.Utawala bora (almost 0% corruption free country 2.Usafi 3.ICT 4. NA MICHEZO - HONGERA ALPHA RWIRANGIRA MSHINDI WA TUSKER PROJECT FAME ! NA SASA

    ReplyDelete
  2. Rwanda will launch a $ 27 m, 100 - hectare free trade zone at the end of this year in an attempt to diversify exports and redress its widening trade deficit.

    This will be the first o its kind in Afica,s Great Lakes Region. only joined EAC in july - Bravo Your Excellency President Kagame and the entire leadership.

    Congrats also for having more than 53 % woman in parliament and other senior post - ITS HIGH TIME WE FOLLOW THE SUIT we dont need to waste tax payers money to go and studyand compare notes with SINGAPORE......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...